Nimekoswa koswa, kina dada hatari sana

Nimekoswa koswa, kina dada hatari sana

Hapo ulipo tafuta mademu watatu au wanne tofauti wala usitangaze ndoa piga mzigo kwa nafasi angalia ambaye hakupi stress anayeendana na wewe .

Hiyo utajikuta wanapungua wenyewe na wewe pia angalia kwa vigezo vyako yupi anayefiti hizo za kutangaza ndoa sio ndoa ni mkataba tu wala hauhitaji nguvu kwabwa kama hamuendani.
 
Vitu viwili alivyoniusia baba, vimenisaidia sana..
1. Acha mwanamke akupende, usimtengenezee mazingira ya kukupenda.

2. Usipende kutamka neno "ntakuoa" mbele ya mwanamke umtongozae.
Jiepushe sana kutamka neno ndoa hata kwa bahati mbaya.
Neno "ntakuoa" wanatamka wanaume wadhaifu ambao wanawake wanatumia huo udhaifu wao kuwabwaga.

Shukran zimuendee Mzee kwa busara hizi, na maadamu yuko hai, ntaendelea kuchota busara zaidi kwake.
 
Wana Jf yani nimekoswa koswa vibaya mno, nipeni pole na si rudii tena, nina nia njema ya kuoa lakini sasa nakutana na kina dada ambao sio wazuri, kwanza masharti ya kuoa ni kwamba lazima niende kwao kujitambulisha na nitoe mahari hata kama itakuwa nusu na kuanzia hapo ndio naweza nikanunua zawadi au kumpa pesa anayohitaji na lazima iwe ndani ya uwezo wangu vile vile nitakuwa tayari kuomba papuchi, ila dada zangu wana mpango mwingine ambao sikuutegemea kabisa. Sasa ilikuwa hivi.

1. Nilikutana na dada wa kipare anaishi Moshi tukakubaliana kuoana alichonambia ni kwamba atanipeleka kwao nijitambulishe ila kumchukua rasmi awe mke lazima niwe nimesha nunua gari na nimfungulie biashara ndio atakuja kwangu dah nlichoka sana.

Niliamua kupotea kabisa pamoja na kuwa tumeshazoeana na sikuwahi kumuomba papuchi ila yeye kuomba hela ya matumizi balaa na vocha ahaha nlichoka.

2. Haya nilimtafuta mwingine ambaye anaishi Temeke Dar kwa kujitandia na swala zote yuko vizuri ukimuona utamuona kweli huyu dini anaishikilia sana yeye ni mtu wa Tabora, dah akaomba hela ya chuo nikampa laki na 60 akasema amepoteza simu nikampa tecno ya laki 260

Nikamuomba niende kwao akanipa namba ya ndugu yake eti ndio mama yake mwisho wa siku akaniblock fb, whatsapp cm zangu akawa hapokei tena, kumpigia na cm nyingine akanambia nijiheshimu na nikome kumtafuta mke wa mtu dah nilichoka

Kwanza simu hiyo haikuwa namba yake na majina yake halisi taarifa alizonipa kuhusu kwao na kabila zilikuwa za uongo. Nilichoka sana ila nilimletea noma nikamtangaza fb kiwa ni mwizi akairudisha simu maana sikuwa nimempa na risiti ila pesa ndo hivyo siwezi kuzipata

3. Sikuchoka nikamtafuta mwingine mhehe anaishi tabata tukakubaliana kumbe kadro siku zinavyoenda anaendelea kunisoma kama nina hela, kuna mitandao ya kijamii ambayo alikataa kunambia yumo pamoja na kumuuliza alisema hayupo huko kabisa,

Alikataa kunipa namba ya simu tukaendelea kuchat facebook messenger ila nikaweka mtego wa id nyingine instagram nikamkuta na vidume akisema kuwa ndio mpenzi wake na alikataa katu hana mwanaume dah nilichoka

sikumwambia, nilimuomba mshenga aende kwao akanambia nisubiri siwezi kwenda kwao haraka baada ya wiki 2 akanambia yuko shuleni mtoto wa dada yake amefukuzwa anahitaji sh 188,000 nimrushie kwa wakala yupo karibu dah nikashtuka

Akasema kwann hutaki kujali na kutunza familia yetu, nikashtuka nikamwambia lazima nije nijitambulishe na nitoe mahari kwanza ndio nitakusaidia na hata mimi siombi papuchi, dah kuanzia siku hiyo akasepa wala hataki kuongea na mm nikasema sawa nimeshtuka mapema.

4. Sikuchoka nikamtafuta mwingine mchaga hapo Moshi dah tukakubaliana nikamwambia kwakuwa unaishi mbali na unakofanyia kazi nikulipie chumba mjini halafu niende nyumbani kujitambulisha akakaa muda sana badae akasema nimpe hela aanze kununua vitu vya ndani ataviweka kwao akitaka kuhama atahama navyo

Nikasema sawa nitakupa ila niruhusu niende nyumbani kujitambulisha dah akasema bado mapema nikamuuliza kuomba hela hukuona mapemaeeee, baada ya siku 3 akaomba nimuazime laki 3 anashida atalipa taratibu nikaona huyu anacheza na akili yangu

nikamwambia mke na mume huwa hawakopeshani nikamuomba mshenga apeleke baruwa kwao akasema nimpe kwanza pesa na bada ya wiki atamruhusu mshenga baada ya siku 2 nikamuuliza kwann hutaki kuwasiliana akasema sijampa hela na anashida dah nikafuta namba yake kabisa.

Jamaniee nimekoma kabisaaa sina hamu ya kuchumbia tena labda miaka ijayo.

Mbn tuko waaminifu aise...[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Kwanini unatanguliza makabila yao?
Mkuu, nadhani kabila lina-reflect character Fulani hivi.....ndo maana hata uandikapo maelezo yako Polisi ni lazima uainishe na Kabila lako....the same applied hata guest house/lodge
 
Pole! Watu mnaongeleje ndoa mapema yote hiyo?
 
Mtoa mada alifanya hivyo kwa nia nzur tu, ili kugain their trust na kuwapa assurance, sasa kwa bahati mbaya sana kwa uzoefu wangu nlionao mm kwenye tasnia ya kugegeda wanawake ni kuwa Mara nyingi ukimfata mwanamke huku nia yako ikiwa sio nzur kwake ndo unampata, kosa ni umpende tu ujisemee kuwa huyu ni wa ndoa bhas ndo humpat unaharib kila kitu na utapelekwa mchaka mchaka ww..

Mm sahiv no matter how much nampenda dem, nia yang ya kwanza kwake ni sex tu until she proves herself that she's worthy to be my wife, vinginevyo I just settle for fun Paprika
 
Thats it!!!
 
Inaonekana dhahiri wewe unapenda wanawake wa kupendeza machoni kwa watu. Chagua mwanamke wa kuoa sio wa kudate
 
Pole sana mkuu! Siku hizi interview Pesa tu...Hao watu hatari sana.
 
JIBU MASWALI HAYA:
WEWE NI MUOWAJI?
NI MUUMINI WA IMANI GANI?
UNATAKA KUOA WA IMANI GANI?
UMRI GANI?TAMBO NK
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana nimesoma visa vyako nimejikuta natabasamu sana Ila duh wanawake noma sana ukienda kichwa kichwa unaangukia pua, kingine makabila uliyotangaza ushenga majanga , vp sasa ushapata mke au bado nikupe mchongo
 
Wana Jf yani nimekoswa koswa vibaya mno, nipeni pole na si rudii tena, nina nia njema ya kuoa lakini sasa nakutana na kina dada ambao sio wazuri, kwanza masharti ya kuoa ni kwamba lazima niende kwao kujitambulisha na nitoe mahari hata kama itakuwa nusu na kuanzia hapo ndio naweza nikanunua zawadi au kumpa pesa anayohitaji na lazima iwe ndani ya uwezo wangu vile vile nitakuwa tayari kuomba papuchi, ila dada zangu wana mpango mwingine ambao sikuutegemea kabisa. Sasa ilikuwa hivi.

1. Nilikutana na dada wa kipare anaishi Moshi tukakubaliana kuoana alichonambia ni kwamba atanipeleka kwao nijitambulishe ila kumchukua rasmi awe mke lazima niwe nimesha nunua gari na nimfungulie biashara ndio atakuja kwangu dah nlichoka sana.

Niliamua kupotea kabisa pamoja na kuwa tumeshazoeana na sikuwahi kumuomba papuchi ila yeye kuomba hela ya matumizi balaa na vocha ahaha nlichoka.

2. Haya nilimtafuta mwingine ambaye anaishi Temeke Dar kwa kujitandia na swala zote yuko vizuri ukimuona utamuona kweli huyu dini anaishikilia sana yeye ni mtu wa Tabora, dah akaomba hela ya chuo nikampa laki na 60 akasema amepoteza simu nikampa tecno ya laki 260

Nikamuomba niende kwao akanipa namba ya ndugu yake eti ndio mama yake mwisho wa siku akaniblock fb, whatsapp cm zangu akawa hapokei tena, kumpigia na cm nyingine akanambia nijiheshimu na nikome kumtafuta mke wa mtu dah nilichoka

Kwanza simu hiyo haikuwa namba yake na majina yake halisi taarifa alizonipa kuhusu kwao na kabila zilikuwa za uongo. Nilichoka sana ila nilimletea noma nikamtangaza fb kiwa ni mwizi akairudisha simu maana sikuwa nimempa na risiti ila pesa ndo hivyo siwezi kuzipata

3. Sikuchoka nikamtafuta mwingine mhehe anaishi tabata tukakubaliana kumbe kadro siku zinavyoenda anaendelea kunisoma kama nina hela, kuna mitandao ya kijamii ambayo alikataa kunambia yumo pamoja na kumuuliza alisema hayupo huko kabisa,

Alikataa kunipa namba ya simu tukaendelea kuchat facebook messenger ila nikaweka mtego wa id nyingine instagram nikamkuta na vidume akisema kuwa ndio mpenzi wake na alikataa katu hana mwanaume dah nilichoka

sikumwambia, nilimuomba mshenga aende kwao akanambia nisubiri siwezi kwenda kwao haraka baada ya wiki 2 akanambia yuko shuleni mtoto wa dada yake amefukuzwa anahitaji sh 188,000 nimrushie kwa wakala yupo karibu dah nikashtuka

Akasema kwann hutaki kujali na kutunza familia yetu, nikashtuka nikamwambia lazima nije nijitambulishe na nitoe mahari kwanza ndio nitakusaidia na hata mimi siombi papuchi, dah kuanzia siku hiyo akasepa wala hataki kuongea na mm nikasema sawa nimeshtuka mapema.

4. Sikuchoka nikamtafuta mwingine mchaga hapo Moshi dah tukakubaliana nikamwambia kwakuwa unaishi mbali na unakofanyia kazi nikulipie chumba mjini halafu niende nyumbani kujitambulisha akakaa muda sana badae akasema nimpe hela aanze kununua vitu vya ndani ataviweka kwao akitaka kuhama atahama navyo

Nikasema sawa nitakupa ila niruhusu niende nyumbani kujitambulisha dah akasema bado mapema nikamuuliza kuomba hela hukuona mapemaeeee, baada ya siku 3 akaomba nimuazime laki 3 anashida atalipa taratibu nikaona huyu anacheza na akili yangu

nikamwambia mke na mume huwa hawakopeshani nikamuomba mshenga apeleke baruwa kwao akasema nimpe kwanza pesa na bada ya wiki atamruhusu mshenga baada ya siku 2 nikamuuliza kwann hutaki kuwasiliana akasema sijampa hela na anashida dah nikafuta namba yake kabisa.

Jamaniee nimekoma kabisaaa sina hamu ya kuchumbia tena labda miaka ijayo.
Kwa hiyo wewe haukutani na wanawake huko mtaani unapoishi? Au kazini kwako, au kwenye events na mitoko unayofanya zaidi ya huko kwenye mitandao ya kijamii? Unawezaje kutangaza ndoa kwa mwanamke ambae haumfahamu vzr? Kila siku watu mnalizwa tu kwenye mitandao ya kijamii na bado hamuishi. Hapo mimi sijaona shida ya hao wanawake zaidi naona mwenye shida ni wewe. Wacha kukurupuka chukua muda wako kutafuta mwanamke. Mara zote mwanamke huwa anasoma akili yako kwanza. Ukiwq na akili mbovu utaliwa hela mpaka uimbe halelujah.
 
Back
Top Bottom