W
Nadhani pia watu softicated kama wewe hawahitajiki JF, hii ni forum ya whistleblowers, siyo ya kukufurahisha we we wala watawala, max mwenyewe anafurahia nyuzi kama hizi siyo zile ambazo ziko edited za kiDAB DAB
Ameleta mada gani Mangi hapo, alipokua hapatikani wote tuliamini alikua ametekwa tena na vyombo vya dola, haya kapatikana hukohuko chini ya dola tena Ndani ya kipindi kilichotolewa na DAB, leo MTU mzima na akili zake anatuletea Uzi eti Roma kajiteka. Hizi ndiyo zile akili za kiDAB kuleta mambo...
Huyu stress za Maisha zinamwandama mpaka anamchukia ndugu yake. Huyu Gwajima asingetuhumiwa kwa kashfa nzito kama hiyo wala asingehangaika na Makonda. Hata mimi nisingetulia kwa kashfa kama ile tena kupitia vyombo vya habari.
U said it well Lambard huyu jamaa i
Chadema inatokea wapi humu! Povu la nini? Lisu is a threat to injustice ndiyo maana wanahangaika. Usually perpets like Msando are highly used in these kind of dubious acts.
Siyo kweli ndugu, mfanyakazi huwa haweki security yoyote bank zaidi ya kulipa insurance charges/premium na mshahara wake ndiyo utatumika kulipa deni. Bank hawawezi kutake such risk, mtu anapofukuzwa Kazi pesa yao itarudi kupitia insurance na social security funds saving za mfanyakazi unless huyo...
Sioni uhusiano wa bank kuanguka na vyeti Feki, kama issue ni mikopo, mikopo ya bank yote ina insurance, mtu akifutwa Kazi insurance company itacover kiasi kilichobaki ambacho hajalipa.
Anguko la bank litasababishwa na uamuzi wa kupeleka fedha zote za serikali bank kuu kwani hii inaathiri moja...
Lile eneo lilipimwa lote, na wenyeji walishalipwa, wengi wenye maeneo na majengo pale ni wageni nikiwemo na mimi. Hivyo hawa ni wavamizi na siyo wenyeji ila wanajiita wenyeji.
Makonda anahujumiwa vipi; Wewe kama ni mkazi wa Dar ni lazima uwe unajua au hata kuziona juhudi zake katika kulifanyia...
MAKONDA ANAHUJUMIWA NA VIONGOZI WA SERIKALI YA MTAA WA TUANGOMA - KIGAMBONI
Katika hali ya kuhuzunisha na kushangaza juhudi za Mh. Paul Makonda katika kutunza mazingira ili kuliweka jiji letu katika hali ya usafi kama mkuu wa mkoa wa Dar es salaam zinatiwa doa, tena kwa makusudi na viongozi wa...
umenena vyema na ndiyo maana mapato ya forodha pamoja na uchache wa macontainer lakini hayajashuka below 100% mpaka sasa. Bora machache yanayolipa kodi kuliko msongamano wa macontainer ya wakwepa kodi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.