Msando ni kiboko ya Tundu.Tundu kishakula mieleka sana wakati wa suala la zitto.Tegemeeni sefu kushindwa vibaya sanaUkiangalia sana kesi hii inayowakabili akina lipumba na msajili wa vyama ambao wameshitakiwa na wadhamini wa CUF ni kama vile mapambano kati ya CHADEMA na ACT.
Ebu angalia mawakili wanaowatetea lipumba na wenzake ni Albert Msando kwa upande mmoja na mawakili wanaowatetea CUF ya Maalim Seif yumo Kibatala, na Tundu Lissu kati ya mawakili watano waliofika mahakamani leo.
Hii inaonyesha wazi vyama hivi viwili viko nyuma ya mgogoro huu wa chama cha CUF.
kodi za tz niza kutoa kichwani sio mapatoLipumba anadhalilika sana
Ikiwezekana wote wafukuzwe kabisa.Hapana wasihame...wabaki huko huko.Haki itatendeka tu.Kama Lipumba sawa..kama Maalim sawa.
namuunga mkono msando amtetee lipumba.
Makubaliano ya awali ilikuwa lipumba ahamie ACT halafu baadaye arudi nyumbani kwao ccm , angalia Machali .
mumeona kesi imewakalia vibaya mumeamua kumshambulia kijambazi, mungu anawaonaUkiangalia sana kesi hii inayowakabili akina lipumba na msajili wa vyama ambao wameshitakiwa na wadhamini wa CUF ni kama vile mapambano kati ya CHADEMA na ACT.
Ebu angalia mawakili wanaowatetea lipumba na wenzake ni Albert Msando kwa upande mmoja na mawakili wanaowatetea CUF ya Maalim Seif yumo Kibatala, na Tundu Lissu kati ya mawakili watano waliofika mahakamani leo.
Hii inaonyesha wazi vyama hivi viwili viko nyuma ya mgogoro huu wa chama cha CUF.
Kwi! Kwi! Kwi!Msando ni kiboko ya Tundu.Tundu kishakula mieleka sana wakati wa suala la zitto.Tegemeeni sefu kushindwa vibaya sana
Mkuu taarifa za kushambuliwa umezitoa wapi?mumeona kesi imewakalia vibaya mumeamua kumshambulia kijambazi, mungu anawaona
zipo humuMkuu taarifa za kushambuliwa umezitoa wapi?
Huyu Seif na Wenzake si watangaze tu kuhamia CHADEMA?
Wakihama na Cuf itakufa rasmi, maana watahama na wabunge na uchaguzi mdogo utafanyika ambapo Cuf Lipumba haitaambulia chochote..wanaweza kubaki na wabunge wawili watatu.. ruzuku itapungua kama sio kuikosa kabisaaHapana wasihame...wabaki huko huko.Haki itatendeka tu.Kama Lipumba sawa..kama Maalim sawa.