UDSM yalipuka kwa shangwe baada ya Dr Kulangwa kusema "wacha maneno weka vyeti"

Bashite anadai kuwa ktk mwaka wake wa pili kama RC wa Dar ataongeza kasi. Hii ni dhihaka kwa watanzania
 
Ndio ushangae, Mwigulu na Nape utafikiri wamemwagiwa maji ya barafu. Ikitokea Makonda akatumbuliwa HAKUNA MTU MWINGINE YEYOTE ATAKAYEKUJA KUJARIBU KUPAMBANA NA WAUZA SEMBE - Binafsi nitawanyooshea MIKONO JUU
anaetakiwa kupambana na ngada ahakikishe hana makandokando kama ya bashite...ataeleweka vizr sana...hakuna anaetaka madawa ya kulevya nchini kwetu ila akiwa hana makandokando na awe wakwanza kutupia jiwe wauza unga...acha maneno weka vyeti!!
 
Hakuna makandokando yoyote, hizi porojo nyingi ukiziona ni za KUCHONGA. Ukipambana nao wanaweza kusema kina fulani wamekuhonga usiwakamate au kama vipi unauza nao - Na inavyoonekana wamekeza sana kwenye SOCIAL MEDIA na MAGAZETI
 
Ma DK, WAHADHIRI, THINK TANKS WA SIASA, WASOMI WA VYUO Wote siku hizi CHANZO CHA TAARIFA ZAO NI " MANGE KIMAMBI"

- Hii nchi ni kama ina LAANA
 
Sitaki kuamini kuwa bashite hata vyeti may be ni demands tu za front pages basi
Waulize kinachowapata wanaojifanya walokole halafu wanakemea wenye mapepo ili yawatoke shetani lazima akumalize.

Ni simple logic tu huwezi kutoa uchafu wakati wewe mwenyewe ni mchafu.
 
Back
Top Bottom