Recent content by Davooo

  1. Davooo

    JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha namuulizia shabiki yule kichaa mbabe yupo wapi?

    Hii naikumbuka
  2. Davooo

    JamiiForums Tanzania Kaa na ujenge nami

    Nimepaua n'a kupiga plasta(+wiringi n'a Maji) Aiseeeee acheni Tuu
  3. Davooo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu DRC ampa mimba Naibu wake, adai ni ajali kazini

    Pisi Kali kama hiyo uiache utakuwa mwehu, Maofisini wake na waume za watu wanafukuana balaa
  4. Davooo

    JamiiForums Tanzania Boma lako lilikugharimu bei gani/ kiasi cha pesa?

    Asante Mkuu Tofali hizo ni nyumba tuu,msingi umechangia tofali kuingia nyingi Kuhusu sm² hapo sijui
  5. Davooo

    JamiiForums Tanzania Boma lako lilikugharimu bei gani/ kiasi cha pesa?

    Nimefikia lenta na kuweka top kozi Pia nimeweka grill za milango na madirisha (sijapaua) 4 bedroom (2 self,2 kawaida) Dinning Sitting room Store Kitchen Public toilet Tofali 5400 Pesa Hadi Sasa mil 30,000,000/= Nimeshajengea na shimo la choo Mwaka huu napaua,bâti zinatakiwa 210 Kuhusu finishing...
  6. Davooo

    JamiiForums Tanzania Mnaipa asilimia ngapi hii ramani ya Bangaloo?

    Haina haja ya nyumba ya nje,ongeza room Moja inatosha
  7. Davooo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wembamba (vimodo) na mtindo wao mpya

    Bila picha kukuelewa itachukua Muda sana
  8. Davooo

    JamiiForums Tanzania Hawakumaanisha walichokisema

    Heche alisema ni mil 400
  9. Davooo

    JamiiForums Tanzania SoC02 + Ilivyoangamiza ndoto zangu

    Pole sana,
  10. Davooo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA, kodi za kuingiza Magari ni kichefuchefu kwa Wananchi

    Kila Kitu kwa Tz kipo juu,ni kama wanashindana kupata faida n'a wenye viwanda Msiseme magari tu hâta mashine ndogo ndogo mfano za kuponda kokoto,kusaga,kukamua alizeti etc agiza nje uone Bei yake uone tra wanavyokufanya
  11. Davooo

    JamiiForums Tanzania Jamani hili huko Liberia lilitokana na nini? Picha inatisha kidogo

    Kuna thread ipo hapa JF kuhusu hiyo issue,Hadi ina video kabisa jinsi Samuel Doe alivyouwawa baada ya kukamatwa na Prince
  12. Davooo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wapare Noma, Hela mbele
  13. Davooo

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Machine ya kukamua mafuta ya alizeti ya kisasa kabisa pamoja na mashine ya kusafisha/kutoa harufu Bei ikoje
  14. Davooo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

    Chura IPO?
Back
Top Bottom