NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,985
- 21,236
"Rasimu ya Warioba irudi mezani sasa iwe Katiba mpya"!
Hata alieanzisha mchakato hakukubali!alilazimishwa!Unadhani watakubali?
Atumie ist ambayo hata hausgeli wao anaeza nunua au kuendea sokoni?RC Dar V8 la nini?
Hapana sikusema hivyo lakini kwani nayo si ni gari lakini?Atumie ist ambayo hata hausgeli wao anaeza nunua au kuendea sokoni?
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Umefika wakati hii mikataba iwekwe wazi kwa public iweze kui access maana tusije sema kuna mkataba kumbe kuna watu wana commission zao huko.Mjep hatakubali kirahisi vita yake itakuwa si ya kitoto
Fedha za umma ziheshimiwe, watembelee defender, Vanguard ama cruiser mkonge.Atumie ist ambayo hata hausgeli wao anaeza nunua au kuendea sokoni?
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Kamwe hawawezi kukubali hiliUmefika wakati hii mikataba iwekwe wazi kwa public iweze kui access maana tusije sema kuna mkataba kumbe kuna watu wana commission zao huko.
Mbona yule Mkurugenzi kule Kahama walitaka kumtumbua kwa kununua gari ya TZS 400M akaja kusamehewa na JPM.
Heche alisema ni mil 400Milioni 500 na ushee. View attachment 2372413
Zinatumika kwenye kichwa kimojaMilioni 500 na ushee. View attachment 2372413
nilipo maliza chuo kikuu niliajiriwa serikalini . nilikiwa mdogo sana. niliajiriwa kufanya kazi halmashauriView attachment 413574
Kuna mahali zamani sana nyumbani kwa ndugu yangu niliona picha ya simba yenye maneno haya NO POLITIC yaani kwa kinyasa hakuna siasa.
Kuna kipindi katika maisha yangu nilivutiwa na siasa wakati ule wa chipukizi na skauti ilikuwa mwaka 1983! Nilikolezwa nikakolea, nikawa na ndoto nyingi...hasa kuwa mwanasiasa mahiri!!!
Sisi kama nchi hatukuwa na uwezo wa kutengeneza gari zetu wenyewe hivyo kama nchi tukaingia mkataba na waingereza kutuuzia magari yao serikalini!
Huu ulikuwa ni mkataba rasmi na ndio maana kipindi chote cha mwalimu Nyerere tulitumia magari ya muingereza Landrover Range rover nk.
Mzee Mwinyi aliposhika hatamu mwaka 1985 akaamua kuvunja mkataba na waingereza na kuingia mkataba mpya rasmi na wajapani wakati huo waziri mkuu akiwa Mzee John Samwel Malecela na naibu wake akiwa ndugu Edward Ngoyai Lowassa.
Mkataba huu ulimaliza kipindi cha magari ya uingereza kutamba nchini na nchi ikaanza rasmi kutumia magari ya kijapani maarufu kama land cruiser, huu ni mradi mmoja mkubwa sana wa mabilioni ya dola!
Wajapani kwa Shukrani yao kwenye hili wakaanza kutuletea magari makuukuu kwa bei poa wakati ule kama jaba na vile vile kutufumba mdomo na kutuziba macho kwa misaada mbalimbali kama KAJIMA KOIKA ya sasa nk nk
Ni takriban miaka zaidi ya 30 sasa tunatumia magari ya kijapani, mapya na chakavu, tafsiri yake ni kwamba mpaka vipuri nk ni vya kwao, ukija kuangalia kwa jicho angavu wajapani wamefaidika na sisi zaidi kuliko sisi tulivyofaidika nao..hawawezi kirahisi tu kukubali watupoteze!
Kwenye duru za siasa serikali ikaanza kupigiwa kelele kuhusu kutumia magari ya gharama kubwa bila sababu! Hii ikawa ni kama mtaji wa kisiasa, na joto lilipozidi watu ili wapate kura wakaanza kutoa ahadi za kutonunua hayo magari tena.
Sensa zikafanyika na baadhi yakaanza kurudishwa serikali kuu ikiwa ni maandalizi ya kuacha kuyatumia! Ilikuwa ni hatua moja mbele muhimu sana kisiasa kuna waziri mmoja wa ujenzi akajizolea umaarufu kwenye hili....!
Alichosahau ni kimoja kwamba hivi vitu vina mikataba rasmi kuwa ili upate msaada fulani inabidi kila mwaka wa fedha uagize toka kwao si chini ya magari kadhaa.
Leo hii pamoja na kelele zote zile ndio kwanza ma land cruiser ya ukweli na new model yanabanana serikalini na wizara na vitengo vyake.
Ukitaka kufanikiwa kwenye lolote maanisha unachokinena na nena unachomaanisha.
Si kila kitu ni matamko ya kisiasa majukwaani, kuna mikataba rasmi kama yale magorofa ya mabepari zikipokuwa ofisi za umoja wa vijana.
View attachment 413586
ALAMSIKI.....!!!!
Uzalendo wako ulikuponza pole mnoonilipo maliza chuo kikuu niliajiriwa serikalini . nilikiwa mdogo sana. niliajiriwa kufanya kazi halmashauri
pale nilikuwa idara ya afya. mashine za ex ray zilikuwa za seamen toka uholanz kama nakumbuka vizur. zikiharibika kifaa chochote lazima kiagozwe toka huko
nikhoji nilìshia majibu ya hovyo

Uzalendo wako ulikuponza pole mnoo![]()
nilishangaa zaidi pale DMO alipokuwa anawahonga madiwani wamzungumzie vizur . siku walinifuata wakaniambia wana wasiwasiwasi na mm kuwa ni chadema ati kwann napenda magazeti? (mawio/raia mwema)Uzalendo wako ulikuponza pole mnoo![]()
ilinishangaza zaidi pale DSO alipokuwa anashadidia na kuhamasisha wizi wa kura ili ccm ishinde. hukuweza kuwa yyte pale ka co mwana ccm waliyemuhitaji wao. maafisa uchaguzi hawa woote ni wana ccm tena kwa vyeo. japo wapo halmashaur.....Hahahah duh![]()
maafisa uchaguzi hawa woote ni wana ccm tena kwa vyeo. japo wapo halmashaur.....ilinishangaza zaidi pale DSO alipokuwa anashadidia na kuhamasisha wizi wa kura ili ccm ishinde. hukuweza kuwa yyte pale ka co mwana ccm waliyemuhitaji wao. maafisa uchaguzi hawa woote ni wana ccm tena kwa vyeo. japo wapo halmashaur.....


