juzi natoka iringa nmepanda gar lililotokea mbeya linaitwa majinja special...km speed boat au jet aisee yan ikila mzinga haponi mtu. ila somthng fun bout ilo basi kila siti in home switch ukutani
kuna ngoma nying za hiphop ni nzur...mi napenda mziki mzuri..i lyk councious!! mziki frm tamaduni musiq na weusi ndo aina ya hiphop ambayo wanawake wanapenda. umeona style ya gnako aluvyoswitch..unaona rap style ya kina joh makin n stereo!! waschana classic na hata wasiopenda kabisa hiphop...
women are alwayz dressing to impress men...wanachopenda kuona wanaume ndicho kitadetermin fashion trend ya wanawake..ryt nw we wana c big booties n boobs..nafkir ndo maana vinaachwa waz sana iv viwil
kwenye sauti iyo fact nmeipenda....lakin nkurekebishe mkuu. jet sound reaches 140 decibles inapoacha ground coz maskio ya mwanadamu hupata maumiv na kuathirika pale sauti inapozidi 130 decibles. wakuu sauti ya binadamu kali kuliko zote inareach only 70 decibles. ha haaa haaa
stori ya lilith km mke wa kwnz wa adamu inaonekana kwenye
genesis 1:27....mungu akaamuumba mwanamme na mwanamke kwa mfano wake...
ukija genesis 2:21.. mungu akampa usingizi mzito adam kisha akamtoa ubavu wake wa kushoto ndo akamuumba eva.
hapa unaeza pata picha flani wakuu.
kajala alipata umaarafu miaka ya nyuma kupitia prodyuza maaruf p funk majani ndo aliekua bwana ake kajala mjin badae wakaachana. she was famous before iyo mnayoita tasnia ya bongo movie, bfore wema yupo o levo anasoma..p funk aliwai kusema kauli hii baada ya kumuacha uyu dem.."i took a gal frm...
yap jambo la kwel ni kwamba mechanism ya touch screen kwa technologia hii ya ss vioo vyake viko ver thin ili kuongeza accuracy ya kutype au kubofya chcht kwny screen. vioo hivi viko sensitiv kwa vitu vyvyt smooth vitakavogusa juu yake ambavyo smoothnes ya surface yake ikaribiane na human skin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.