Recent content by Davidsdiason

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jitoe Ufahamu, Uinjoi Mapenzi...

    Nadhani unalenga kufurahishana nasio kuyajenga na kama vile ujali njia ya #jokajeusi na mafundisho ya #mshanajr Happy Sunday everyone
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyoongea na viumbe wa ajabu

    Jana nimeota wameni ibia vitu vyangu vyote ndani nikaenda kwa mjumbe hivi muhuni muhuni amenivalia mzura kumwambia akawa ananicheka harafu akaniambia nitaje list ya vilivyoibiwa ni kataja huku akiwa anaandika chini sio kwenye karatasi baadae akaniambia niende tu nitavipata nikabaki nashangaa...
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

    Hili theard bado linaendelea [emoji44]
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hivi jamani, hamuoni aibu kila kitu ubalozi wa Marekani, kikitokea kitu mnakimbilia kusema tutashtaki Marekani? Ni ushamba

    Licha ya kushuka kama essay bado hueliwi unacho kiandika nini subiri ukue ndio utaelewa ya mobutu seseko iddy amini na sijui na Yule wa burundi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaiogopa CHADEMA sana

    Kikubwa uhai tu mpwa muda ni mwalimu mzuri ila acha kwanza twende na hapa kazi tu
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kamfumania mkewe gesti

  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kamfumania mkewe gesti

    Pamoja na kuchepuka kwake haija kupunguzia uzito we usiji stress kihivyo maana maisha hayawezi kwenda vile unavyotaka wewe bali imani tu ndio ulinzi wa mazingira yetu duniani
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mtu unaanza vipi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu?

    Ndio maana ma babu walioa wanawake wengi si kwa sababu za tamaa Bali kuwasitili wengine wasife na stress
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mtu unaanza vipi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu?

    Ndio maana ma babu walioa wanawake wengi si kwa sababu za tamaa Bali kuwasitili wengine wasife na stress
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wasioolewa na wanaoachika ni walewale

    Pole mkuu fikiria wa vijijini nao vipi?
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie wakike kwanini mnatunyima..?

    Mimi huwa najaribu kuomba nikinyimwa na kuwa mpole dushe likinizonga na mawazo huwa nafanya mazoezi au kusoma vitabu ili nisiteseke kisaikologia Just joking
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mpenzi ananikimbia. Hivi nina tatizo gani?

    Pole mkuu ni Bora uwatafute wakupe majibu sahihi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Habari ndugu na jamaa wa jamii forums

    Sawa nitakushukuru sana
  14. D

    JamiiForums Tanzania Habari ndugu na jamaa wa jamii forums

    Asante kwa ushirika wenu japo nafahamu mwanzo ni Mugumu ila nitarekebisha kasoro zote
  15. D

    JamiiForums Tanzania Muda wa kuwatandika ndo huu!

    Kulikoni tena?
Back
Top Bottom