Aidanna
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 1,862
- 2,937
Naanzaje kuliwa KimasiharaKwan wewe uliliwaje kimasihara
Naanzaje kuliwa KimasiharaKwan wewe uliliwaje kimasihara
Naanzaje kuliwa Kimasihara
Kulikuwa na ulazima kumuhusisha mama yake kwenye comment yako.
Tafuta hela sawa binti AikambeeUnaanzwa kupewa French kiss
Uwe na huruma hutaki niende mbinguni ? Avatar za namna hii zinaondoa upako....Kuwa romantic
Nimepaliwa na maji kwa kichekoUwe na huruma hutaki niende mbinguni ? Avatar za namna hii zinaondoa upako....
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabia za uzinzi zina dazeni katika njia zake; zama za nyuma kidogo alitokea mtu akamfuata alietumwa kuwatoa watu katika dhulma,ushirikina,mauaji na kila aina ya uchafu. Akamwambia "Mimi nna hamu ya kumuingilia mwanamke" Mwalimu yule akamuuliza ungependa mwanao,mdogo wako,mama yako,shangazio afanyiwe hivyo? Akasema hapana! Akaambiwa; kadhaalika hao uwatakao ni watoto,dada......za wenzio nao hawapendi ila kwa taratibu za kisheria kwa maana ya ndoa. Acha uzinzi. Blalifish.Naanzaje kuliwa Kimasihara
Hata sijui nikujibuje, ila wewe pia uache uzinziTabia za uzinzi zina dazeni katika njia zake; zama za nyuma kidogo alitokea mtu akamfuata alietumwa kuwatoa watu katika dhulma,ushirikina,mauaji na kila aina ya uchafu. Akamwambia "Mimi nna hamu ya kumuingilia mwanamke" Mwalimu yule akamuuliza ungependa mwanao,mdogo wako,mama yako,shangazio afanyiwe hivyo? Akasema hapana! Akaambiwa; kadhaalika hao uwatakao ni watoto,dada......za wenzio nao hawapendi ila kwa taratibu za kisheria kwa maana ya ndoa. Acha uzinzi. Blalifish.
Tafuta hela sawa binti Aikambee
Kumbe mkaka jaman sorryNinafanania kuwa binti?
Kumbe mkaka jaman sorry
Nimepaliwa na maji kwa kicheko
Hao inaowataka ni watoto,madada,mashangazi,wa wenzio,pitia taratibu zinazostahiki ukabidhiwe. Umeelewa?Hata sijui nikujibuje, ila wewe pia uache uzinzi
SawaHao inaowataka ni watoto,madada,mashangazi,wa wenzio,pitia taratibu zinazostahiki ukabidhiwe. Umeelewa?
Umenikera sana,kwani mimi nina mabinti wawili wakubwa..... halafu wewe badala ya kufikiri ndoa unafikiri kuwatia tu! Shz sana.Sawa
Najikuta nacheka sana, sikujua kama una mabinti wakubwa wawili alafu Baba yao anawawazia ndoa badala ya uwawazia maisha watakayo ishi huko ndoani.Umenikera sana,kwani mimi nina mabinti wawili wakubwa..... halafu wewe badala ya kufikiri ndoa unafikiri kuwatia tu! Shz sana.
Mwisho wa kuwajengea maisha.....ni waolewe. That's a pointNajikuta nacheka sana, sikujua kama una mabinti wakubwa wawili alafu Baba yao anawawazia ndoa badala ya uwawazia maisha watakayo ishi huko ndoani.
Waza kuwajengea maisha ya kujitegemea kabla hawajaolewa maana wakiolewa hawatapata shida maana wanajua kutafuta hela. Na uwaambie wanaume wajanja sana wanapenda kichwa smart kinachowaza mafanikio
Pili mimi siyo mkaka ni binti.
Issue siyo kuolewa, issue je wanaolewa na nani na wao wana kitu gani cha kufanya maishani?Mwisho wa kuwajengea maisha.....ni waolewe. That's a point