Ndugu,
Nimeamini leo kuwa Rais Magufuli anaiogopa Chadema sana na kwanza hana ubavu wa kukaa nao meza moja.
Anaonekana mtu mwenye kinyongo sana na Chadema. Yupo tayari kuonana na viongozi wote Wa upinzani lakini sio Chadema.
Lakini pia nimejifunza kitu na ninapenda kuwataarifu kuwa Chadema isimchukue Membe kuwa mgombea wake bali iendelee na TL pekee, Membe ni mkakati na wao, sana lao moja.
Hata kama membe akienda ACT basi Chadema isimamishe mgombea wake nimeshaona harufu ya kuivuruga Chadema kupitia Membe. Rais Magufuli ni muoga sana wa Chadema na ana kinyongo sana.
Swelana.
Sent using
Jamii Forums mobile app