Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,745
- 182,818
Wacha we!!Ila mapenzi bhana daah! Yaani mtu ukipenda unakuwa ka fala fulani hivi!
Sent from my SM-A705F using JamiiForums mobile app
Wacha we!!Ila mapenzi bhana daah! Yaani mtu ukipenda unakuwa ka fala fulani hivi!
Sent from my SM-A705F using JamiiForums mobile app
Kilichoandikwa ni ukweli mtupu.Kasha kula limbwata huyo so anajaribu kuona kila kitu na sawa tu kuchapiwa sawa hii ni dalili ya wazi
Anatupanga tena kwa thread iliyowahi kuandikwaDah, aisee huyu apigwe Ban.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha we!!
Hahahah kwani mnashindwa kitu nyie.Mdada ana ex 53 mkuu kweli, kwani mnatuchukuliaje nyie?? 😛
Hongera sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwache mie nimezama penzini teh
Sent from my SM-A705F using JamiiForums mobile app
Duuuh!!Hahahah kwani mnashindwa kitu nyie.
Mkuu kp umekiona kwa wife hadi usisitize watoto wasirudie makosa yako?Hapa ndio namwelewega Jokajeusi anamaanisha nini anaposisitiza msioe wanawake wasio bikra,mimi nishaoa tayari sina jinsi ila watoto wangu nitawaambia wasio mwanamke ambaye sio bikra.
Mapenzi na Logic Ni vitu viwili tofauti ukiwa ni mtu wa ku- reason out katika mahusiano lazima mahusiano yakushinde ... Ajabu Ni kwamba hiki nacho kizungumza Mimi mwenyewe siwezi kuki apply [emoji16][emoji16][emoji16] kukubali kufanywa bwege siwezi kabisaIla mapenzi bhana daah! Yaani mtu ukipenda unakuwa ka fala fulani hivi!
Sent from my SM-A705F using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]...Ukiona mtu anaanza kuandika thread Kama hizi, tunakushauri achana na mapenzi maramoja.
Yata kuua.
[emoji16][emoji16]Ukiona unatumia akili hujadondoka penzini bado.
Tuishi humoUkiona unatumia akili hujadondoka penzini bado.