Unaujua vizuri umbali wakutoka kenya mpaka pemba vizur??? Kma pemba iko kenya iweje tanga iwe tanzania? Manake kutokokenya unavuka usawa wa tanga mjin unasogea mpka pangani apo ndo unauona mji kisiwa cha pemba.
Manake nikua tanga iko katikat ya pemba na mombasa
Maandiko ya dini nizaid ya hizo theory, kadri wanasayansi wanavotufundisha kuhusu dunia na anga namengineyo ndivyo akili zetu zinavyozidi kupanuka nakumuelewa mungu zaidi.
Tunanunua mafuta ya Mico gold ya litre 20 yanayotoka Maleysia kwa tshs 53,000 na ndoo ya mafuta ya Moo Dewji ya litre 20 inauza tshs 60,000, huyu jamaa anawaza aongeze kodi kwa mafuta kutoka njee inamaana dumu la tsh 53,000 itapanda zaid kusababisha ata wauzaji wa rejareja kupandisha bei.
Jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.