Raha kupata anayekupenda

Raha kupata anayekupenda

Kwayeyote yule ambaye hakupata upendo kwenye mahusiano.kama mm mwanzo kweli tulikosa mambo mengi ...!!naomba kusema kwamba nafaidi sana na kufurahia sana.raha ya mahusiano ,mmpendane ,muheshimiane...mkosoane,muelimishane,!!
Mungu amuweke huyu mtu aliyeniletea huu upendo.
Cc mahondaw
 
Love, oh Love.😛😛

So Beautiful to be in love. Its a feeling you cannot explain when its true.

Acha kipasukie nyongo *****.😱😱
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mbona hata husemi aliko na anitwa nani na yukoje ili tujue kama kweli umepata
Kwayeyote yule ambaye hakupata upendo kwenye mahusiano.kama mm mwanzo kweli tulikosa mambo mengi ...!!naomba kusema kwamba nafaidi sana na kufurahia sana.raha ya mahusiano ,mmpendane ,muheshimiane...mkosoane,muelimishane,!!
Mungu amuweke huyu mtu aliyeniletea huu upendo.
 
Nimpate wapi mwanaume kama huyu? Atakayenipenda nami nifurahi daaah
 
Back
Top Bottom