Recent content by DAUDI GEMBE

  1. DAUDI GEMBE

    CHADEMA yapata pigo jingine baada ya Slaa kushindwa kushawishi umma wa Arusha kukaa kwa wiki

    huuu sio mwisho wa chadema ni mwanzo na mwendelezo,Arusha tumechoka uonevu wa Chama cha magamba na Askari wao,mm nadhani huu ni mwisho wa serikali ya CCm viongozi wao kuwaita wapiga kura PANYA.Peoplesssssssssssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
  2. DAUDI GEMBE

    Waaaaw!

    wezi hao usiwape detail zako
  3. DAUDI GEMBE

    Lema afunua siri za muafaka wa madiwani Arusha

    God Bless CDM,God Bless Tz,God bless Arusha
  4. DAUDI GEMBE

    Bei ya mafuta: TRA, TBS, TPA, EWURA ndio chanzo: Pata ukweli hapa

    Sirikali tuliyonayo ni wizi mtupu
  5. DAUDI GEMBE

    Hotuba ya viongozi wa CHADEMA huko Arusha

    Ni kweli mkuu 2nahitaji vingozi watenda haki na sio kujinufaisha wao kwanza
  6. DAUDI GEMBE

    Raisi Malawi On the Way Out; Kikwete is also On Way out!

    Kaka tutawapa heshima zao muda sio mrefu ila tunahitaji kuwa na strategies b4 kuanza mikakati
  7. DAUDI GEMBE

    Moyo uliao machozi....!

    Mm naona uvute subra kidogo maana wengi siku hiziwanapenda kuwachezea/ kukumega kisela na kukuacha,jipe muda wa ukweli utamjua tuu hana alama ila vitendo vyake anaweza akalamba asali alafu akachonga mzinga
  8. DAUDI GEMBE

    Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

    Tuangalie tuone atakavyofanya
  9. DAUDI GEMBE

    Mmarekani; mjapani na mtanzania

    Hii ya tz ni kaliiiiiiiiiiiiiiii
  10. DAUDI GEMBE

    Mmarekani, Mhaya na Mjapani

    Lakini kwa nn umemtumia mhaya hapo ndugu?
  11. DAUDI GEMBE

    Je babu angetangaza ametumwa na mungu agombee urais matokeo yangekuwaje

    Angekua wa ulimwengu zaidi labda baada ya umaarufuu amuulize tena mungu baada ya hapa nifanye nini?
  12. DAUDI GEMBE

    Baba Yangu Amebaka Housegirl-Mama Anataka Kuondoka!

    Hilo ni pepo mpeleke kwa t.b joshua nigeria utapata suluhisho la mambo yenu yote ya familia
  13. DAUDI GEMBE

    Nape na mafisadi wa CHADEMA

    NAPE HANA HOJA ZA MSINGI,NA INAWEZEKANA HAJUI MAANA YA UFISADI AWAULIZE WATANZANIA FISADI NI NANI?KAMA HAWATAANZAA NA BOSI WAKE JK,LOWASA,rOST YA AZIZA NA WENGINE WA CCM
  14. DAUDI GEMBE

    DR. SLAA Vs MAKAMBA

    Slaa huwezi kumlinganisha na makamba,slaa anatisha
Back
Top Bottom