Je babu angetangaza ametumwa na mungu agombee urais matokeo yangekuwaje

yeto

Member
Aug 23, 2010
59
40
leo nilikuwa nasikiliza redio moja wakawa wanasema babu kachangia sana maendeleo ya kijiji cha semumge ikiwa na pamoja kuwekewa minara ya sim za mkononi, na kujengewa barabara,
wakauliza je hiki kingekuwa kipindi cha
uchaguzi. babu akatangaza ameambiwa na mungu agombee urais matokeo yangekuwaje
 
Angekua wa ulimwengu zaidi labda baada ya umaarufuu amuulize tena mungu baada ya hapa nifanye nini?
 
Back
Top Bottom