Recent content by Daud omar

  1. Daud omar

    Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    Nafkiri bado watakuwa wanachukua alama sio chini ya D nne kama sikosei, ni vizuri ukafika chuoni pia iliupate kufahamu
  2. Daud omar

    Two dead, 14 admitted as five storey building collapses in Kisii

    Kenya hawana wakandarasi wazuri ama vipi
  3. Daud omar

    Wahenga wana mioyo ya kusukuma damu tu

    Si nimekuambia ni ndogo sana kama robo kikombe, au wewe tuambie ulitaka tukupe offer gani pengine hapo tutaenda sawa
  4. Daud omar

    Wahenga wana mioyo ya kusukuma damu tu

    Miss Natafuta ngoja wenye offer zao nono wanakuja, sie wengine ka offer kenyewe hata robo kikombe hakafiki tutasumbuana tu huko mbele, matokeo yake tutaanza kuimbiana zile nyimbo za utatoa utoi :):):):)
  5. Daud omar

    Nimemsamehe mapema

    Mkuu si unajua lakin kama mtalaka huwa hatongozwi
  6. Daud omar

    I think am in love with the wrong person

    Imefika kipindi hata maumivu unaona ni matamu eeeh, haya endelea
  7. Daud omar

    Eti hii text ina ubaya gani wakuu?

    Warudishie kesi yao wenyewe, wambie wewe haujasomea sheria tena haswa za mapenzi
  8. Daud omar

    Hasara za Kukurupuka! Jinsi ya kudownload nyimbo bure Wasafidotcom

    Yes ni kweli mkuu mim ni mwenyewe ni mmoja wapo, pamoja sana
  9. Daud omar

    Hasara za Kukurupuka! Jinsi ya kudownload nyimbo bure Wasafidotcom

    Mkuu unajua mim usinielewe vibaya, mimi na watu wengine tunakupongeza sana, issue tu pengine ungetumia njia nyengine ya ku address hii issue tungekuwa tunakupongeza zaidi, all in all its okay may be wahusika saivi taarifa zimeshawafikia wanazifanyia kazi, lengo ni kujenga sio kubomoa au sio
  10. Daud omar

    Hasara za Kukurupuka! Jinsi ya kudownload nyimbo bure Wasafidotcom

    Yes ni kweli mkuu tunakubali umefanya kwa faida yao wenyewe Wasafi na faida ya watumiaji wengine pamoja na wasanii wengine wote watakao weka kazi zao huko its okay na ni vizuri pia na tunakushukuru sana, but at least ungejaribu kuwasiliana na wenyewe Wasafi moja kwa moja kuliko ku exposed hapa...
  11. Daud omar

    Vijana Wenzangu (22-35) ukiona nawe ni mmoja kati ya hawa ujue umelaaniwa

    By the way hi style ya mapenzi ya kimjini mjin siku hizi yanawafanya wanaume wengi wanasahau walipotoka na mama zao pamoja na familia zao, mafaniko madago mtu anayopata badala akamtunze mama yake na familia yake na wadogo zake anaanza kumtunza tu mwanamke amabe hata sio mkewe wamekutana kimjini...
  12. Daud omar

    Vijana Wenzangu (22-35) ukiona nawe ni mmoja kati ya hawa ujue umelaaniwa

    Sio kwamba unashindwa that is how it is Psychologically, watoto wengi wakike wanapenda baba zao na baba kuliko mama zao wakiamini kwamba ndio mwanaume pekee amabae hawezi kumdhuru na chochote na daima atamhakikishia ulinzi, na hi huwa inaanzia tangia unapokuwa katika tumbo la mama, ukitaka...
  13. Daud omar

    Nawezaje kuishi na mke mwenye wivu uliopitiliza?

    Labda nikuulize huyo mkeo ni mama wa nyumbani tu, kama ni kweli basi wanawake wengi wa namna hii huwa kama hivyo, ningekushauri umtaftie hata kashughuli kakufanya ili awe bize na mambo yake pia hii itamsaidia kumweka busy na asiwe na mda wa idle wa kukuwazia maovu.
  14. Daud omar

    Alipokwambia ana mpenzi wake, ulifanya mikakati gani mpaka ukampata?

    Wambie na wewe unawako lakini umewataka tu wao pengine huenda wakakuelewa pia mka mantain the lines
  15. Daud omar

    Piteni hapa jamani mtoe neno

    Ile ni miguu au mikono??
Back
Top Bottom