Wahenga wana mioyo ya kusukuma damu tu

Wahenga wana mioyo ya kusukuma damu tu

Kuna job nyingi nyingi tuu, ila za ziada. But muhimu ni kukutanisha vikojoleo.

Mengine yote ziada tuu.
kwani kukutanisha vikojoleo ni lazima awe mpenzi wako? hyo offer si inauzwa kitaa pia?
 
...

mahusiano yanabase kwenye sex mwanzo mwisho .?? hapana jamani .

Miss Natafuta, pole kwa masahibu ya kukosa mwenza. Hongera kwa kuweka wazi msimamo wako kuhusu mahusiano ya me na ke.

Mtizamo wangu ni tofauti kabisa na wako na yawezekana ikawa ndiyo sababu ya msingi ya masahibu yaliyokukuta na wewe kujipa hiyo ID yako Miss Natafuta.

Ukiacha mahusiano ya me na ke kwa ndugu, mengine msingi wake ni tendo la ndoa. Kulegalega na hatimaye kuvunjika kwa mahusiano hayo, sababu kuu ni kutokuridhishana katika hilo tendo. Wengi wetu, katika hayo mahusiano, hatuwi tayari kuambizana ukweli kuhusu mapungufu yetu ya tendo la ndoa. Matokeo yake ni michepuko na hasira, wivu, na kukata tamaa, kama ulivyo wewe.

Jawabu la kuishi katika mahusiano hai na ya furaha ni kujitathimini, kwa undani na uwazi, mchango wako katika tendo la ndoa. Vinginevyo ke ataishia kuwa jamvi la wageni na me kuzungukia mabucha wakati nyama ni ileile.
 
Ati kuitwa lodge kusex weekend hahaaaaa unadate na wapuuzi wasio kuwa na nyumba zao au wamepenga sehemu nzuri shubaamiti
 
Back
Top Bottom