Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Mahusiano yangu ya kwanza nilikaa almost miaka 5. Huyu ni college mate aliniacha yeye
ya pili miaka 3. Huyu jamaa nilimuacha mimi kutokana na sababu za kifamilia
kutoka hapo sijawai kudate tena mtu seriasi yaani hata week haipiti wengine ni hawa wa JF tunakutana humu na kuachana humu humu kabla hata ya kuachana.
Nataka kussetle ila naona makosa ni yale yale mambo ya kuitwa lodge kusex wekend yaani sipendi naona kama muda wangu wa mambo hayo ushapita ilo tu jamani ndo siri ya mimi kutokuwa na mwanaume .Sio kwamba sina hamu ila uhuni tena big no, wekeni offer zenu vizuri la sivyo mtanilaumu sana, sijui naringa wakati cha kuringia hata sina. Mahusiano yanabase kwenye sex mwanzo mwisho ?? hapana jamani