Recent content by Datascientist

  1. D

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tafuteni kipa wa kueleweka
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

    Muite sehemu mkae muongee. Naona hajawahi kuongea haya mambo. Siku akikuita kabla hamjakulana mjadili haya mambo yenu.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Huku ni kukomoana, sijawahi kuona wala kusikia kama hili duniani, TRA mjiangalie

    Miaka kumi sasa nawakwepa sijawahi kuwalipa hata mia wananidai karibuni millioni 30 hawatanishika kamwe kwa style yangu ya biashara.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huyo Declan Rice pigeni bench haraka.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Peter Mollel (Pierre Liquid) amesilimu sasa anaitwa Salum Sheikh Kishk

    Mumsaidie aache pombe
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nimeamua kwa akili yangu timamu kuachana na ajira za utumishi. Bora nikomae na private sectors.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hapo inakuwaje wanarudia pepa au wanafanyaje.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuahirisha nini
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hapa umetaja vitengo vitatu tofauti. Lakini Maswali ni yale yale uliyosoma darasani hayatoki nje ya hapo. Pia kuna maswali ya scenario mf unauliza wewe ni softwarer developer umekutana na situation fulani kwenye kodi zako utachhukua hatua gani unachagua multiple choices. Kwa data analyst soma...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Soma kada yako kiundani mkuu, IT kitengo gani unataka?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Saa moja maswali inategemea yanaweza kuwa 40 au 50
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ni online, na ni multiple choice qns. All the best champion.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ahsante mkuu
Back
Top Bottom