HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Programmer, system admin na data analyst
Hapa umetaja vitengo vitatu tofauti. Lakini Maswali ni yale yale uliyosoma darasani hayatoki nje ya hapo. Pia kuna maswali ya scenario mf unauliza wewe ni softwarer developer umekutana na situation fulani kwenye kodi zako utachhukua hatua gani
unachagua multiple choices. Kwa data analyst soma statistics yote cover to cover usiache kitu.
 
Mkuu utaitwa tuu ni vyema kutumia muda huu kujiandaa vyema na kufanya ibada kwa sana maana Kuna pdf nimeliona uko cut point ilikuwa 64 na nyingine 70 so inabidi ujiandae vyema maana unaweza zani ni 50 kumbe ni 60 na kuendelea uko
Sisi ufaulu wetu mtu akipiga sana wa kwanza ni 70 huanzia apo
 
Back
Top Bottom