Recent content by dashez

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mitumba ipo hata nchi zilizoendelea

    Mitumba ipo ya grade ya juu mpaka chini kabisa. Serikali ingezuia ile ya grade ya chini kabisa ili nchi yetu isiwe dampo la huo uchafu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mambo haya ni kinga usikamatwe kwa makosa ya Mtandao

    Mtoa maada umekuwa mkweli sana. Huwezi kutukana kiongozi Wa nchi harafu uachwe Salama tu. Rais Wa nchi ndo image ya Taifa letu. Tatizo watu bado wanaviongozi wao ambao hawakuchaguliwa na wananchi. Ukitukana utakamatwa tu maana hakuna namna nyingine
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mtu Mmoja auawa kwa kuchomwa kisu, kisa wivu wa mapenzi

    Kuchapiwa ni kitu mbaya sana. Yawezekana huyu jamaa ndo alisabisha hiyo ndoa iyumbe! Any way R.I.P .
  4. D

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono Ray C kwa anachofanya Shigongo kwake

    Duh! Kafara zipo lakini sio kila mtu anayepata utajiri katoa kafara tuwe makini na maneno mengine aisee!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Gari ipi nzuri kati ya Harrier240G na Klugger

    Klugger mjomba mpango mzima.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Joyce Mhavile na kipindi ''Aibu yako hata wewe''

    Mbona kipindi kizuri tu! Tufanya na sisi vipindi vyetu.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ujenzi barabara ya Mwenge-Morocco Dar waendelea kwa kasi

    Sisi tunataka barabara ya kiwango, mambo ya uhusiano na masisiem watajuana wao
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tamko la Sahara Media Group kuhusu kufungiwa vyombo vyake

    Ninapenda sana vipindi vya star TV na Radio free Africa lakini hakuna namna kalipe kodi yetu.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu imulike PSPF kuna uozo

    Haki yako haiwezi kupotea mbele ya JPM. Huu uzi wahusika wakiuona next week unajaa pesa la sivyo jipu litatumbuliwa.
Back
Top Bottom