Recent content by dashes

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kumfunika Kapt. John Komba na Katapilla ilikuwa dharau

    Huo ni mfuniko tu mleta uzi! Wangetumia catapilla kuweka mchanga hapo ningeunga mkono hoja yako. Huo mfuniko ni mzito sana kutokana na uimara wa kaburi.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi wana kauli za kibabe?

    Kama unataka kubembelezwa nenda kwa wachungaji au mashehe.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Mh. Komba alitabiri kifo chake?

    Maandiko matakatifu yanasema. WAHESHIMU BABA NA MAMA YAKO SIKU ZAKO ZIPATE KUWA NYINGI DUNIANI. Marehemu JK alimtukana mzee Warioba ambaye ni sawa na mzazi wake. MUNGU anajua sababu ya kumtanguliza mbele ya haki.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Nadhani Albino sasa umefika wakati wa kujengewa makazi ndani ya kambi za jwtz
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ntatangaza Nia Mapema Machi 2015 - Dkt. John Pombe MAGUFULI

    Nahisi tunahitaji aina ya Rais kama Dk. Magufuli kwa sasa, busara katika kuongoza nchi hii imeshindikana. Bwana mkubwa aliyepo madarakani tulimpa asilimia kubwa sana kwamba atatufikisha tunapotaka lakini kashindwa. Tunamtaka Magufuli ili siku moja afukuze wezi wa nchi hii bila kusubiri busara...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Suzuki swift 1.3

    Unataka kumuvua mtu au kwenye yard?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Kitimoto ina Uspecial gani?

    Asiyekula kitimoto amelaniwa.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kuscratch kwa ITV kupitia Star Times

    Kuna ving' amuzi vingi sana sasa. Achana na startimes
  9. D

    JamiiForums Tanzania Black man is the original

    Yawezekana.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Black man is the original

    Hayo mawazo tu.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mbegu za kiume za mwenye VVU zaoshwa zatumika katika uzazi

    Poa imekaa vizuri.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Swali: Je shemeji akimfukuza dada yako na wewe utaondoka?

    Ukiwa na akili kibaba ndo utaishi na shemeji. Ipo familia flani yote imehamia kwa dada yao, ipo siku watafukuzwa wote kama mbwa.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe waziri Saada Mkuya aliwadanganya wabunge na spika wao

    Huyu Waziri Saada naye si yupo yupo tu . Kawekwa tu hata sifa hana.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mh rais usihutubie kabla ya kusoma hapa

    kamwamu ninakupa big up kwa coment iliyosimama. Hawa akina Rugemalila ni picha tu inayowekwa mbele, nyuma yake kuna vigogo wengi sana. Mm hii issue ya Prof Tibaijuka na wenzake kugawiwa hela nyingi hizo kama karanga haiingii akilini. Watakuwa wana HISA wakubwa wa IPTL.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tanzia;mama shillary wa air Tanzania afariki dunia

    Wote tu wake na tutarudi kwake Muumba. R.I.P Mama yetu.
Back
Top Bottom