Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Mkuu Leo Umepanga Kuniua Kwa Kunivunja Mbavu au? Kwa Maana Hii Ni Kwamba Sasa Itabidi Ukienda Kulazwa Hospital Yoyote Uulizie Kuna Wanajeshi Wangapi Wamelazwa Humo. Sasa Nimeamini Ni Kwanini Hata Hapo Lugalo Wanalazwa Wenyewe Tu Yawezekana Raia Wakilala Hapo Hupona Wenyewe Kwa Ubabe Wao Humo Wodini Kabla Hata Madaktari Hawajawahudumia. Nimecheka Mno Mkuu Na Post Yako!
Inasemekana kwamba hata wewe raia ukilazwa hsptl ya jeshi basi kila cku sio ajabu kuwa na zoezi la mchakamchaka asubuhi na pushapu za kutosha