Hivi Kitimoto ina Uspecial gani?

Hivi Kitimoto ina Uspecial gani?

Mkuu, hiyo nyama ukisema Wakristo ndo wanachukuana sio sahihi. Kuna jamaa yangu ni Muislamu yaani akiwa na hela yupo tayari awabebe hata mkiwa watu kumi ili mkale Kitimoto ila Waislamu wengi hawaipendi sababu nasikia inakimbiza Majini kwahiyo huwezi ukakaribisha Polisi nyumbani kwako wakati unauza Bangi na Gongo.
 
ALLAH AWARUHU WAISLAMU KULA KITI MOTO NA KUNYWA POMBE!!!!

Kama kawaida yetu. Leo tutajadili ulaji waNguruwe na unywaji wa Pombe katika Uislam.
Ndugu zanguni, huwa nashindwa kuelewa ninihasa ni tatizo la Allah??!! Hivi huyu Allah huwa ni Mungu au ni nani hasa?MBONA ANA KIGEUGEU Hivi?

ALLAH AMRUHUSU MUHAMMAD KUNYWA VINYWAJI VIKALI"POMBE"
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume waAllah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je,unataka kunywa mvinyo? Mtume Muhammad akasema: Ndio. Basi yule Mtu alikwendakuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete Mvinyo ulio mkali ili ninywe;Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule Mvinyo Mkali alilewa"

Kama ushaidi unavyo sema hapo juu, Allahkaruhusu kunywa pombe. Baada ya hali kumwia ngumu, Allah kaamua kulegeza sheriazake na kuruhusu KITI MOTO kwa wafuasi wake.

ALLAH ATOA RUHUSA YA KULA NGURUWE KWAWAISLAMU-NGURUWE SASA NI HALAL
QURAN AL- BAQARA (2:173)
173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya Nguruwe na kilichotajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliyefikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kulaNguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

JAMANI ALLAH SASA KESHA TOA RUHUSA KWAWAFUASI WAKE, KULA KITI MOTO NA KUMEZEA/TEREMSHIA KWA ULABU WA POMBE KALI. NDIOMAANA KITI MOTO HUWA KINADODA WAKATI WA MFUNGO, KUMBE WALAJI WAKUBWA WA HUYUMNYAMA ALIYE UMBWA NA ALLAH NI WAFUASI WAKE MWENYEWEE.........

QURAN SUURAT AN NAH'L (16:116).
Wala msiseme uwongo, kwa kuropokwa na ndimi zenu: Hichi halali, na hichi haramu- mkimzulia uwongo Mwenyezi Mungu. Hakika wanao mzulia uwongo Mwenyezi Munguhawatafanikiwa.

ALLAH KASEMA UKISEMA HIKI SI HALAL(HARAM)Kumbe huko ni kumzulia Mwenyezi Mungu UONGO.

HABARI NJEMA KWA WAISLAM:
Sasa ulaji wa Nguruwe na unywaji Pombe ni Halal.
Ismail, Ajaabu Leo hii unazungumza kwa Utiifu!! Upole !!
 
asante sana kwa vifungu hiv, ubarikiwe na Allah!

ila tatizo kitabu chao kimechorwa michoro ambayo hata wenyewe nadhani hua hawaielewi ndo mana wanaenda kinyume nayo
 
Binadamu aliyepotea huongozwa na shetani. Mtu anaweza kuchukua kifungu cha maandiko matakatifu kwa kupotosha au kwa manufaa yake. Hivyo ndivyo anavyofanya shetani, kwa kuwa aliapa kuingiza binadamu wengi motoni. Utaona kwa vile nguruwe aliharamishwa ukiuliza wanakwambia hilo ni agano la kale, lakini mengine yaliyoko kwenye agano la kale wanayatekeleza. Ni sawa na wakili anavyotumia vifungu vya sheria kumtetea mtuhumiwa hata kama anakosa la wazi kabisa.

Mara nyingi yale mambo yanayokatazwa na Mwenyezi Mungu ndio binadamu tunayaona mazuri na kuyafuata, sina haja ya kutoa mifano. Kuna mchangiaji mmoja hapo juu amesema kwa nini basi aliumba nguruwe? Hivi nauliza kila mnyama aliyeko duniani analiwa? Binadamu tusihoji makusudio ya Mungu ni yeye mwenyewe anajua.
 
asante sana kwa vifungu hiv, ubarikiwe na Allah!

ila tatizo kitabu chao kimechorwa michoro ambayo hata wenyewe nadhani hua hawaielewi ndo mana wanaenda kinyume nayo
Amen, let us glorify Jesus.
 
Naipenda ikikaangwa na siyo rost.Ukiwa mtwara karibia eneo linaitwa Amigo.
 
mmh mimi ni mkristo lakini hiyo nyama imenishinda jamani kwanza ile harufu yake tu huwa inanifanya nihisi kutapika, huwa sielewi watu wanaipendea nini

Mkuu hujapata anayejua kuitengeneza hiyo kitu
 
Jamani nitoeni ushamba, hivi kitimoto kwa wakristo ni nyama special( maalum)? Kwa maana utakuta watu wanachukuana twendeni tukale kiti moto, wanafunga safari, au tutoe out mkuu tukale kitimoto, sasa najiuliza, Je hii nyama ina uapecial gani kwenye ukristo. Au kama si kwenye ukristo, uspecial gani kwa watu binafsi?

wakati wa mwezi wa ramadhani sehemu za kitimoto, na baa uwa zinadorora. je hii ni kweli? just curious
 
Jamani nitoeni ushamba, hivi kitimoto kwa wakristo ni nyama special( maalum)? Kwa maana utakuta watu wanachukuana twendeni tukale kiti moto, wanafunga safari, au tutoe out mkuu tukale kitimoto, sasa najiuliza, Je hii nyama ina uapecial gani kwenye ukristo. Au kama si kwenye ukristo, uspecial gani kwa watu binafsi?

Tatizo lako udini tu umekukaa, sasa hapo ukristo unakujaje? We ushaambiwa mwezi wa ramadhani biashara ya mkuu wa Meza haiendi, baa hazifanyi biashara sasa utadhani walaji ni wakristo?
 
Naipenda ikikaangwa na siyo rost.Ukiwa mtwara karibia eneo linaitwa Amigo.
........Mkuu, kuna eneo fulani pale Masasi town wanakaanga vizuri sana ila jina la ile sehemu nimeisahau. Niliwahi kwenda kumtembelea rafiki yangu Muislamu tukaenda kuipiga. Muislamu asiyekula Nguruwe anamzushia uongo Allah maana mwenyewe karuhusu kisha Binadamu wanamzushia kwamba kakataza.
 
mmh mimi ni mkristo lakini hiyo nyama imenishinda jamani kwanza ile harufu yake tu huwa inanifanya nihisi kutapika, huwa sielewi watu wanaipendea nini
.......Dada suala la harufu si kigezo kikubwa sana, watu wanavumilia harufu ngapi?
 
Leo ndio nimejua!kumbe kafiri mkristo iliabatizwe nilazima awe amekula nyama nguruwe sichini ya kilo 30!..duh!nauroho umo.
 
Back
Top Bottom