Kwani huyu unae sema ataiua wasafi si ndio RAFIKI MKUBWA wa CLOUDS HADI BOSSI WA KITUO HICHO SIKU WAMEHITILAFIANA AKASEMA HUYU MTU PALE NINYUMBANI KWAKE AMEZOEA KWENDA MUDA WOWOTE SO SASA WAMETIBUANA MNAMUONA HAPENDWI NA WATU WOTE ETI ATAIUA WASAFI MBONA CLAUDS NDIO ILIZUNGUKA NAE DAR NZIMA...
Ktk hao share holders Diomond ndio bland ( mtaji MKUBWA) KWA hiyo BIASHARA kwani itapata soko kubwa Kwa sababu ya mtaji MKUBWA wa soko . So hao wenye pesa hawazi wekeza sehemu ambayo hailipi, Na Pia pamoja Na pesa waliyonayo wanaweza kuanzisha hiyo BIASHARA ILA watatumia pesa sana kuitangaza...
Dah. Kweli maana serikari inasema sio maadili udhalilishaji wa wanawake WAO kumbe ndio wanapenda hiyo KAZI IPO. Unamlazimisha MTOTO aende Shule naye hapendi Shule so unalipa maada wee yeye akifika Shule ni kuchati darasani haingii . sasa hapo nani anapata hasala . dah Safari ni mlima Na mabonde.
Kama waliondoa hapo ndio walikosea kwani wanakuwa wamechochea hao kina mama kuendelea kujiachia kama wangeacha Na KUFANYA ni huru tu HATA KWA zahanati za kawaida NIDHAMU ingekuwepo Na hata kama anafanya wangefanya KWA kinga ambapo bado ni nzuri KWA udhibiti wa magonjwa ya ngono.
Acha kutukana majeshi yako yana Mwaga damu kwa ajili ya kulinda AMANI ya nchi nahata unapata huo muda wa kuchati ni WAO wametekeleza majukumu yao ipasavyo. Omba ladhi tafadhari Na utengue kauli yako dah inauma sana.[emoji24] [emoji22]
Umetumwa wewe ulitaka wafanye saangapi usiku au unazani ni ngono hiyo hadi wafanye usiku.kwataarifa yako wanafanya mazoezi 24hrs Na mfululizo wa wiki sita bila kulala . nenda kanunue Chips MAYAI ule ulale mapema kesho endelee kuchati wacha wakulindie Amani we Uendelee kubwatuka bwatuka. MTU...
Sababu kubwa ni risk ya vifo vya uzazi. Kupasuliwa risk ni ndogo sana Na kuzaa KWA kusukuma risk ni kubwa yaani mwanamke anakuwa Na hofu kupona au kutopona lkn njia ya upasuaji ni Salama zaid ndio maana wanaioenda kuitumia.
Sasa VP KWA wale WATOTO waofanya vzuri Shule huamua kuwa rusha madarasa maana yake sitamaliza wakiwa wadogo Na kuonekana hawna SIFA wakti uwezo WAO kielimu n MKUBWA kwann wasingebezi kwenye SIFA za ufaulu ili MTU Mwenye uelewa MKUBWA aweze kumaliza Na umlimdogo Na ajekulitumikia Taifa kwa muda...
Hivi hamna namna ya kupata maandishi ya nyimbo KWA teckonoljia ya sasa? Napenda sana kuelewa maneno ya nyimbo husika BT nikisikiliza huwa suyapati vema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.