Recent content by Darnes 2016

  1. Darnes 2016

    UKIP wa Tundu Lissu kisiasa ni sawa na harakati za uraisi wa Marekani za Barack Obama

    Ukiamka unipitie hapa[emoji23] Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. Darnes 2016

    Koffi Olomide ndio msanii bora wa muda wote kutoka Congo

    Kwa vigezo vipi Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. Darnes 2016

    Mbona meno ya Diamond yanaoza, amepatwa na tatizo gani?

    Ushamba utaisha lini tz [emoji23][emoji23][emoji23] msanii kuweka golden slug anaonekana meno yameoza [emoji23][emoji23][emoji23] this is only in tz Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. Darnes 2016

    Kutawanyika kwa wayahudi na mwanzo wa Zionism Movement

    [emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. Darnes 2016

    Kutawanyika kwa wayahudi na mwanzo wa Zionism Movement

    Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. Darnes 2016

    Kutawanyika kwa wayahudi na mwanzo wa Zionism Movement

    Tunajichanganya hapa hapa [emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. Darnes 2016

    Kutawanyika kwa wayahudi na mwanzo wa Zionism Movement

    PART 2 : tulipoishia.... Jina “WAYAHUDI” lilitumiwa kwa mara ya kwanza na Mordekai ndani ya Biblia katika kitabu cha Esther kuwatambulisha watu wa kabila la Yuda waliokuwa uhamishoni kwenye nchi za kigeni. Baada ya Maliki Cyrus The Great kuwaruhusu wayahudi kurudi makwao, sio wote walirejea...
  8. Darnes 2016

    Historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Kidumu kidumu daima Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. Darnes 2016

    Kutawanyika kwa wayahudi na mwanzo wa Zionism Movement

    PART 1 : JEWISH DIASPORA Ni matumaini yangu mwana JF mwenzangu kuwa u mzima wa afya. Nataka nikuletee kwa ufupi hii mada inayosumbua ulimwengu wa leo Kwanza tutaanzia mwanzo kbs kwenye zama za Biblia. Waisraeli ni jamii ya watu wa ukoo wa Abraham. Baada ya kutoka Misri utumwani wana hawa wa...
  10. Darnes 2016

    Ku Klux Klan ni akina nani?

    Nimeshaileta tayari ipo First Klan. Second Klan kesho jumapili Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. Darnes 2016

    Poor performance by Wasafi in Nairobi... Twitter reactin

    Naona team Kibakuli wamejitoa ufahamu humu. Wasafi bado wamebana no way pakutokea [emoji23][emoji23] Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. Darnes 2016

    Wimbo bora wa mwaka 2018

    Wimbo bora 2018 bado ni Kwangwaru tu. Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. Darnes 2016

    Ipo wapi Bobgo Fleva yetu?

    Muziki umebadilika. Sio tu Bongofleva ni ulimwenguni kote. Hata Marekani ni hayo hayo. Unaweza kuona tofauti kati ya Right here ya Brandy na Money wa Card B. Wasanii kama The Notorious BIG, 2Pac Shakur, Ice Cube, Dmx, Duffy, Nelly, R Kelly waliimba japokuwa nyimbo zao zilikuwa na angalau aina...
  14. Darnes 2016

    CRUSADES

    Nadhani hili sio neno geni kwa wengi ila nataka nilizingumzie kwa kina. Kwa nini ilianzishwa na ni yapi madhara yake. Sent from my iPhone using JamiiForums
  15. Darnes 2016

    Ku Klux Klan

    FIRST KLAN 1865-1871 Kama nilivyoahidi nitachambua kiundani kuhusu hili kundi lenye historia mbaya sana ktk ainabinadamu. Leo nitaanza na hii First Klan Abraham Lincoln, rais wa 16 wa Marekani baada tu ya kuapishwa Machi 4th 1861 kuwa rais mpya wa Marekani aliadhimia kuwapa uhuru watumwa wote...
Back
Top Bottom