Huyo jamaa Doc Douvilier alikuwa anagawa cash mtaani.
Alikuwa na imani za kishirikina, kiasi kwamba aliwahi sema yeye ni spiritual being na hawez kufa hata kwa risasi mbele ya wananchi wake
Ni moja kati ya madictator waliofanikiwa sana.
Alibadilishaga katiba, na kusema yy ni president for...
Kwel kabisa mkuu, binadamu tumekuwa programmed kuperceive a very tiny fraction of the entire universe kwa hyo inakuwa ngumu kabisa kuelewa the reality of the universe.... the visble light we see is only 0.005% of the electromagnetic spectrum, the physical world that is hills,mountains etc is...
Ukitumia common sense ipasavyo unaweza kufika kwake mkuu, haina haja ya mahubiri ya kibinaadamu
Sifa zake ni too universal, sio esoteric kama unavotaka ziwe.
Unaposema kwa kichina au kirusi jua kwamba nao wana alphabets zao kwa hyo hata numerology au gematria methods zao zinakuwa tofauti na ile cryptonumerology ya kiingereza.
Warusi wana alphabets zaid ya 30, kwa hyo nenda kajifunze gematria yao ndo uijue ndo uje na mjadala wa kueleweka
Mkuu ni kwamba mafundisho yote ya kidini unayofundishwa hivi sasa ni translations za ancestor languages either kiebrania au kiarabu. Sina uhakika sana na kiarabu
Maana tunaambiwa binadamu wa kwanza kuumbwa aliitwa Adam, na Adam linatokea kwenye word root la kiebrania Adamah. Adamah ni land au...
Yah ni makosa ya kiuandishi, ilipaswa iwe Sh badala ya Ah, Sh ni hebrew alphabetical yenye value ya 300.
Ahsante kwa mchango wako [emoji1545][emoji1545]
Habarini wana ndugu..... Nimepata msukumo wa kuandaa thread hii kutokana na nyuzi mbalimbali nilizozisoma kwenywe jukwaa, pamoja na kuona umuhimu wa kushare information.
Ni uzi wangu wa kwanza kuandika, pengine composition inaweza isiwe nzuri sana.
.....Kama kichwa kinavosema hapo juu, uzi huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.