Recent content by da'ritoh

  1. da'ritoh

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    MWENYE THREAD YA TARATIBU ZA USAJILI NGO,ANITAG HAPA. ASAP
  2. da'ritoh

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    shmba langu lipo bagamoyo kijiji cha kiwangwa.. mwenye contacts za wauzaji wa miche bora ya papai anisaidie ASAP
  3. da'ritoh

    Nataka kununua shamba Rufiji

    ALF ..aisee nisaidie mm sehem iliyo karibu na maji.
  4. da'ritoh

    Nina Ekari 30, maji yapo, naomba ushauri nifanye nini nitoke?

    Bado tu hujajua kitu cha kufanya mkuu?
  5. da'ritoh

    Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Samahan wakuu ..napenda kujua zaidi kilimo cha matango.kama kina msimu,magonjwa,bei sokon,aina ya tango, aina ya udongo kinapo kubali sana. Asanteni
  6. da'ritoh

    Nina Ekari 30, maji yapo, naomba ushauri nifanye nini nitoke?

    Mkuu nipo serious.. niuzie eneo ekari 5 tu.
  7. da'ritoh

    Nina Ekari 30, maji yapo, naomba ushauri nifanye nini nitoke?

    Naomba uniuzie hata ekari 5 hiv mkuu
  8. da'ritoh

    Natafuta kazi, Elimu ya Kidato cha Nne

    Tuma cv yako hapa : info@lisboncollege.gmail.com
  9. da'ritoh

    Kupanda miti ya mbao

    Aisee mkuu nimeikubali hii,vipi naweza kujiunga.?
  10. da'ritoh

    Nahitaji msaada wa wazo la biashara

    Ningependa kujua zaid kuhusu hii kitu.
  11. da'ritoh

    Business partner anatafutwa (Project ya maji safi Ubungo)

    Mrejesho wa hii thread vipi??? Maana ipo interesting.
  12. da'ritoh

    Unaweza kuwa milionea kwa kuwekeza katika miti ya mbao, cheki hapa

    Mkuu ingekuwa poa ukitoa mchanganuo wote hapa ili kama ipo interesting ndo utafutwe..
  13. da'ritoh

    Naomba Ushauri: Nataka ku-import mizinga ya kisasa ya nyuki toka China

    John L. Mihambo .. hujajibu swali la gharama za bee house na je bee house moja inaweza kubeba mizinga mingapi??
Back
Top Bottom