decent girl
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 302
- 139
- Thread starter
- #41
Endelea kutafuta mkuu.!!
daah haya bhana
Endelea kutafuta mkuu.!!
Mnona watu wametoa namba za simu hapo uwapigie, hujawatafuta? Au mataoeli nini?
Poanimewatafuta lakn wengine ndo wanampango wa kufungua maofis lkn mm nahitaj kaz
muombe mungu piaasante pia kwa mchango
Tuma cv yako hapa : info@lisboncollege.gmail.com
weka na picha
kazi nyingine lzm picha, nataka mdada wa reception hotelinipicha ndo kumpa MTU kazi mkuu
kazi nyingine lzm picha, nataka mdada wa reception hotelini
Wewe nae hauna kazi then haujitangazi ili wenye msaada wakusaidie!!usione aibu,usione woga!!Vp baba tuambizane kama kuna ishu hzo
Weka mamba yako
Weka mamba yako
Kama upo serious ni PMHabari za Leo wapendwa, Mimi ni msichana mwenye miaka 24 elimu yangu ni kidato cha NNE .
Kwa heshima na taadhima naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata kaz inayoendana na elimu yangu. Nina Basic certificate ya Hotel Management .
Pia Nina uwezo wa kutumia computer . Kazi ambazo Nina uzoefu nazo ni pamoja na;
1. Receptionist( Nina uzoefu wa Mwaka mmoja na nusu).
2: Cashier kwenye gaming machines kwa mwaka 1.
3: Promo girl, sales and Promotion.
Lakini pamoja na hayo kazi zingine ambazo ni halali naweza kufanya kama usafi maofisin n.k.
NATANGULIZA SHUKRANI .
NIPO DAR ES SALAAM. MUNGU AWABARIKI SANA.
"..Ni pm nikuweke lodge kama kweli una shida na kazi.. ukiona utanipotezea time tusitafutane tafadhali"Habari za Leo wapendwa, Mimi ni msichana mwenye miaka 24 elimu yangu ni kidato cha NNE .
Kwa heshima na taadhima naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata kaz inayoendana na elimu yangu. Nina Basic certificate ya Hotel Management .
Pia Nina uwezo wa kutumia computer . Kazi ambazo Nina uzoefu nazo ni pamoja na;
1. Receptionist( Nina uzoefu wa Mwaka mmoja na nusu).
2: Cashier kwenye gaming machines kwa mwaka 1.
3: Promo girl, sales and Promotion.
Lakini pamoja na hayo kazi zingine ambazo ni halali naweza kufanya kama usafi maofisin n.k.
NATANGULIZA SHUKRANI .
NIPO DAR ES SALAAM. MUNGU AWABARIKI SANA.
Huyo jamaa kaandika maneno ya dharau sana, na kiukweli hata mtu awe na elimu kubwa kiasi gani? lakn kama kweli anajua ugumu wa kutafuta maisha kwa sisi wakina "pangu pakavu tia mchuzi" bs hawezi hata kdgo kukejeli elimu ya mtu, tena ambae anatafuta kazi! anyway, achana nao watoto wa kishua hao maisha mazur, kazi nzur, baba yupo pazur, mama yupo pazur, ndugu wapo kweny sekta mbalimbali..! endelea kustruggle dada angu and one day utatimiza ndoto yako na kuishi vile ambavo sikuzote unatamani kuishi, elimu ulonayo ni kubwa sana, kikubwa ni imani, uvumilivu, juhudi na mipango thabiti ya kile unachotafuta. Mungu anakuona.