Mi nafikiri kuna haja ya TCRA kutoa maelezo kwa wananchi juu ya maelezo yanayokubalika kwa sababu kuna baadhi ya simu ukiziangali zinaleta maelezo yafuatayo.
IMEI 355801511007058 HAIPO, hivyo wasiliana haraka na aliekuuzia maana yaweza kuwa ni FEKI.
Mi nafikiri kama simu italeta maelezo hayo...
usidanganye watu. kwanza chumba cha kura ya muungano na ya znz ni kimoja. na hata ilipotokea kwa bahati mbaya hakupiga kura ya muungano basi mtu huyo alirudishwa ili akapige hiyo kura ili kuweka hesabu sawa wakati wa kuhesabu kura
Asiejua madhara ya kunyimwa misaada umuulize Salmin Amour rais wa Zanzibar wa awamu ya tano. kiwewe cha kukosa misaada kilimtumbuwa maradhi na sasa anakufa pole pole kitandani. Magufuli ajifunze kutoka kwake.
Jana kwenye sherehe za kutimia miaka 52 ya mapinduzi ya zanzibar tumeshuhudia kitendo cha aibu kilichofanywa na wanaccm wa Zanzibar cha kumzomea Rais mstahafu wa awamu ya sita wa Serekali ya mapinduzi ya Zanzibar mh. Amaan Abeid Amaan Karume.
Kitendo hicho sio tu kimeifedhehesha CCM bali...
Jana kwenye sherehe za kutimia miaka 52 ya mapinduzi ya zanzibar tumeshuhudia kitendo cha aibu kilichofanywa na wanaccm wa Zanzibar cha kumzomea Rais mstahafu wa awamu ya sita wa Serekali ya mapinduzi ya Zanzibar mh. Amaan Abeid Amaan Karume.
Kitendo hicho sio tu kimeifedhehesha CCM bali...
Mbona masharti ya MCC yanatekelezeka hivi sisi kushindana na wamarekani ni kwa faida ya nani ? Wazanzibar wachache wenye uchu wa madaraka wasitukoseshe fedha ambazo kimsingi tunazihitaji sana.Waathirika wakuu wa kukosekana kwa msaada huu ni sisi tunsoishi vijijini ambao tunaishi bila umeme tangu...
Kwani hao watanganyika ambao mnajisifu wana uwezo wameifikisha wapi nchi miaka 54 baada ya uhuru? Wezetu wanaendelea nyinyi mmeshikilia tu ubaguzi. Acheni hizo. Nyokoooo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.