Simu za Halotel H6302

Simu za Halotel H6302

H8401 ni smartphone inakaa na chaji 24hrs na kuendelea kulingana na matumizi yako.

Ila tambua kwamba ni SIM 1 pekee ina-support 3G na hapo inaingia line ya halotel pekee. Ili uweze kuweka line ya mtandao mwingine kweny SIM 1 ni lazima ui-unlock.
Kwa hiyo fundi wa ku toa lock anahitajika hapo duh. Hatare nyingine hii
 
Simu za halotel nazikubali sana hasa H8401 smartphone kwani inauwezo mzuri sana ukilinganisha na simu za mitandao mingine kama tigo, airtel na voda ambazo mara nyingi zinakuwa very slow (unabofya app flan mfano sms au contact then unaisubir i-load)

Wewe unaelilia simu ya 22,000/= pole maana hata iphone wanapewa jibu hilohilo.

Nasubir kuona tz ambayo haiwez kutengeneza hata saa ya mkonyezo ikizima simu wanazoziita fake.
Mkuu mie sio smartphone, ni ya kawaida tu na nimeuziwa 30,000*2=60,000/- lkn tatizo nahofu kuwa june 2016 itakosa kazi
 
Mkuu mie sio smartphone, ni ya kawaida tu na nimeuziwa 30,000*2=60,000/- lkn tatizo nahofu kuwa june 2016 itakosa kazi
Kwa kweli usemayo ni ya msingi maana hata smartphone zote za halotel hazioani na SMS inayorudishwa baada ya kutuma IMEI kwenda 15090.

Tusubiri siku Ifike tuone zikizimwa. Zaidi ngoja nimpigie kijana wangu yupo kariaakoo mobile plaza ambapo zipo ofisi za halotel kisha ntawapa mrejesho.
 
Mi nafikiri kuna haja ya TCRA kutoa maelezo kwa wananchi juu ya maelezo yanayokubalika kwa sababu kuna baadhi ya simu ukiziangali zinaleta maelezo yafuatayo.
IMEI 355801511007058 HAIPO, hivyo wasiliana haraka na aliekuuzia maana yaweza kuwa ni FEKI.
Mi nafikiri kama simu italeta maelezo hayo ndio itakua haijulikani na TCRA
 
Kwa kweli usemayo ni ya msingi maana hata smartphone zote za halotel hazioani na SMS inayorudishwa baada ya kutuma IMEI kwenda 15090.

Tusubiri siku Ifike tuone zikizimwa. Zaidi ngoja nimpigie kijana wangu yupo kariaakoo mobile plaza ambapo zipo ofisi za halotel kisha ntawapa mrejesho.
Sasa hiyo kusubir halafu siku ya siku ukose mawasiliano, hasira yake utaikabili mzee?

Akili za wafanya biashara ni mbovu sana, hebu fikiria, wamenunua mzigo wa kutosha wa simu fake, halafu wanaiomba serikali ili isitishe kuzima simu fake hadi WAMALIZE STOCK ZAO.

Sasa wao wanawaza kupata faida huku wakiacha wananchi katika wakati mgumu
 
Nikirudishie nusu hasara mkuu maana naona huna imani nao hao jamaa
Gharama ya simu mbili nilizonunua ni 60,000/-, kinachouma ni siku tcra wakizima simu fake, na bado miezi mitatu tu.

Sasa wote tulionunua simu hizo tukiamini ni original, tutakosa mawasiliano. Hafu kumbuka wanunuzi tumetofautiana vipato, wapo wengine kukusanya pesa kununua nyingine ni kuuza gunia kadhaa za maharage
 
Sasa hiyo kusubir halafu siku ya siku ukose mawasiliano, hasira yake utaikabili mzee?

Akili za wafanya biashara ni mbovu sana, hebu fikiria, wamenunua mzigo wa kutosha wa simu fake, halafu wanaiomba serikali ili isitishe kuzima simu fake hadi WAMALIZE STOCK ZAO.

Sasa wao wanawaza kupata faida huku wakiacha wananchi katika wakati mgumu
Ni sawa kabisa, na siku zikizimwa hasira zatapanda vibaya mno.

Lakini ni vyema kuwajua hawa halotel ni kina nani hasa.

Halotel ni jina la kibiashara linalotuniwa hapa tanzania kutoka katika kampuni kubwa ya VIETTEL ya Vetnam inayomilikiwa na jeshi la nchi hiyo. Kwahiyo kwa ujumla ni kwamba hakuna kiwanda kinachoitwa halotel kinachozalisha simu ila wanachokifanya ni kuandika tu majina yao ya kibiashara ktk simu hizi zinazotengenezwa na kampuni tofauti.
 
Sasa tufanyeje sasa? Tuendelee kununua halafu tusubiri? Maana kwa mimi niliyenunua kwa wakala, nikienda pale sidhani kama atanipokea. Na tuwafikirie zaidi wa vijijini
 
Sasa tufanyeje sasa? Tuendelee kununua halafu tusubiri? Maana kwa mimi niliyenunua kwa wakala, nikienda pale sidhani kama atanipokea. Na tuwafikirie zaidi wa vijijini
Hapo unahitajika msaada wa kisheria hasa kutoka kwa hawa TCRA maana ndio wamewapa kibali cha kutuhudumia hivyo kama simu zao zitakuwa fake ni lazima hatua zichukuliwe.

Ngoja nijaribu kuwatafuta hawa TCRA watupe ufafanuzi.
 
Simu za halotel nazikubali sana hasa H8401 smartphone kwani inauwezo mzuri sana ukilinganisha na simu za mitandao mingine kama tigo, airtel na voda ambazo mara nyingi zinakuwa very slow (unabofya app flan mfano sms au contact then unaisubir i-load)

Wewe unaelilia simu ya 22,000/= pole maana hata iphone wanapewa jibu hilohilo.

Nasubir kuona tz ambayo haiwez kutengeneza hata saa ya mkonyezo ikizima simu wanazoziita fake.
mkuu inakubali line zote?
 
mkuu inakubali line zote?
Za smartphone sijui lkn kwa hizi H6302 ni double line, line no 1, lzm iwe halotel na line 2 yoyote inafanya kazi.

Na kwa sasa hata program za kuifanya ipokee line yoyote bado hazijapatikana
 
mkuu inakubali line zote?
SIM 1 inaingia line ya halotel pekee ila SIM 2 inakubali line zingine.
Unaweza kuswitch 3G ktk SIM 1 tu hivyo ili utumie line tofauti na halotel ktk SIM 1 ni lazima ui-unlock hiyo simu.
 
Hapo unahitajika msaada wa kisheria hasa kutoka kwa hawa TCRA maana ndio wamewapa kibali cha kutuhudumia hivyo kama simu zao zitakuwa fake ni lazima hatua zichukuliwe.

Ngoja nijaribu kuwatafuta hawa TCRA watupe ufafanuzi.
Usisahau mrejesho
 
SIM 1 inaingia line ya halotel pekee ila SIM 2 inakubali line zingine.
Unaweza kuswitch 3G ktk SIM 1 tu hivyo ili utumie line tofauti na halotel ktk SIM 1 ni lazima ui-unlock hiyo simu.
Program file za unlocking bado hazijatolewa
 
Program file za unlocking bado hazijatolewa
Kwa smartphone tayari mfano hii nnayotumia saiv nimei-unlock na natumia line ya voda coz hapa nilipo halotel haushiki ila kwa hizi simu za kawaida bado hakuna anaeweza ku-unlock.
 
Kwakuongezea pia nnatumia H6302 kwa kuchat zaid na inakaa na chaji Sikh mbili mpaka 3 wakati nikitumia H8401 kwa maswala ya internet na inamaliza 24 hrs ukiwa umewasha 3G kutwa nxima.
Hili jukwaa ndio maana wataalam wengi wamekimbia, kabakia chifumkwawa tu.
 
Rudi halotel majibu watakayokupa ya attach hapo, maana hivi utakua kama umetumwa...

Naafikiana nawe kabisa, uzuri simu ina jina la muuzaji, ni tofauti na kama simu ingekuwa inaitwa Maganga au Karumanzila, hivyo ni rahisi kumwendea na kumpa simu yake, ingekuwa vyema kupata mrejesho wa muuzaji kama ameikataa bidha yake ili wengine nao wasinunue, lakini kwa sasa yaweza kuwa ni simu moja kati ya nyingi walizonazo ndizo hazitambuliki
 
Wana bodi,

Kwa masikitiko makubwa, nimeshitushwa na simu za halotel H6302 ambazo zinauzwa na halotel na mawakala wao nchini.

Simu hizi kwa kuwa ni brand ya halotel, nilitarajia zitakuwa original na hivyo siku tcra wakizima mitambo ya simu fake, basi watumiaji wa simu hizo watakuwa salama.

Chakushangaza sasa, nazo zimo kwenye orodha ya simu zitakazo shindwa kufanya kazi kwa ufake wake.

Nimeangalia kwa kutumia utaratibu wa kutuma imei no kwenda 15090 na haya ndo majibu yake.

"... Hong Kong Garland International Limited - T-max M1,M2 - Kama IMEI haioani na simu yako wasiliana na muuzaji. Usipoweza,ibadilishe kabla ya Juni 2016 kwani yaweza kuzimika...".

Wito kwa ndugu zangu, simu hizo hazioani na aina ya simu hivyo ni matatizo. Tuzieupuke kukwepa hasara. Iwapo ukinunulia ndugu zako vijijini kwa kuamini ni salama, utaumia.

Aksante
Usiogope, hiyo H............. inasimama kama initial letter ya hilo neno HONGKONG.
 
Bado sijaujua ufeki upo wapi ni sawa na kuuziwa NOKIA yenye kava la TECNO.ukituma usitarajie majibu ya TECNO but yatakuja ya NOKIA.
N:B hapo mchawi ni kava tu.
 
Back
Top Bottom