The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,396
- 1,784
Last edited by a moderator:
Hiyo ya kitanda ni kweli zaidi...ha ha haha kama kweli vile
hayaHiyo ya kitanda ni kweli zaidi...
Hahahhaa, kweli kabisa hasa suala la kujiandaa l, mavazi na zaidi kushare kitanda, me huwa nalalia kwenye mbao
Mimi akinibana tu.....dushe maana hamna namna tena.Hahahhaa, kweli kabisa hasa suala la kujiandaa l, mavazi na zaidi kushare kitanda, me huwa nalalia kwenye mbao
Kweli kabisa hata Mimi inanitokea kila Siku hadi nalalia kingo za mbao.Hiyo ya kitanda ni kweli zaidi...
Hiyo "After break up" tatizo inakuwa ni nini hasa?haha.. afu inakuaga kweli kabisa hii..
Hiyo ya kitanda ni kweli zaidi...
Niambie hiyo after breakup ndo inakuwaje muda mfupi tu furaha inawarudiaNilivyokuwa shule wakati tunafanya titrations unaona colour change kabla ya mwalimu. Yeye anasema bado wewe unaona kapitiliza. Ndo siku akaniambia "unajua wasichana wanaona rangi tofauti na wavulana"
Hio ya kitanda angechora shuka . Hahaha. We take most of the blanket.