Recent content by danny01

  1. danny01

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Wengine wenye akili timamu na uwezo wa kufiri tusio lalamika wenye kujielewa tumeona tunaelekea wapi ,pili unahitaji kutambua serikali ni wananchi .
  2. danny01

    JamiiForums Tanzania Kama hawa ndio Mawaziri wa rais Magufuli, kweli CCM ni ile ile

    Tena hilo gazeti wa halili wake wakina yeriko nyerere
  3. danny01

    JamiiForums Tanzania Kama hawa ndio Mawaziri wa rais Magufuli, kweli CCM ni ile ile

    hakuna kikao kilichowekwa na wanaccm kumuonya wana ccm wanakaa kwa ajili ya uchaguzi wa Zanzibar
  4. danny01

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ripoti za Mwakyembe kuhusu madudu bandarini ziwekwe wazi, sio kutumbua majipu tu!

    Hahaha wanataka report isomwe ili watu wajipange acha serikali ifanyekazi yake kimya kimya mtapambana nayo mahakamani tu kama wataona wanaonewa
  5. danny01

    JamiiForums Tanzania Maoni: Wabunge wa UKAWA toeni tamko kumtambua Rais Magufuli kwa masharti haya...

    Hahaha jamaaa nyie mnatabu sana sijui mnashindwa kukaa kimya kumwacha Raisi wetu afanye kazi yake
  6. danny01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya mwaka huu ni wetu

    Kenya mwaka wenu huu kweli
  7. danny01

    JamiiForums Tanzania January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    Hahaha jamaa aliutegemea uwaziri mkuu
  8. danny01

    JamiiForums Tanzania Kumfukuza kazi Rished Bade ni kumpiga teke chura?

    bade anafungwa
  9. danny01

    JamiiForums Tanzania Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

    Ndio tunavyotaka ili tuendeleee futa matongo tongo yako kwanza
  10. danny01

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Hahaha katika vilaza wa mwisho wewe upo wakati office ya bunge inaanda maandalizi ya hizi sherehe ya walitumia muda gani kaka kuaanda sherehe yao ?
  11. danny01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kibadeni in Action: Kili Stars 4-0 Somalia

    Sio kuifunga somalia tu sisi ndio mabingwa wa michuano hii mwaka huu
  12. danny01

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (heslb) iwe chanzo cha kuinua elimu yetu

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) inaweza ikawa kama chanzo cha kuinua elimu yetu,kama ikitumika ipasavyo kwenye swala la utoaji mikopo kwa wanafunzi .Bodi ijaribu kuweka masharti ambayo yata wafanya wanafunzi kuongeza juhudi katika masomo yao kwa kuweka kiwango flani cha ufauru ambacho...
  13. danny01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Internet ya 4G ya mtandao upi ipo vizuri ktk moderm?

    The 4G network is the latest also it better than 3G so buy the 4G modem has a speed ..but you can find it only at a Tigo network ndugu..
  14. danny01

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais kuhutubia Bunge na Waziri Mkuu kujulikana kesho, UKAWA bado hawasomeki

    Pili walitegemea kushinda kiti cha speaker ilihali wapo wachache bungeni
  15. danny01

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dawa ya kurefusha uume

    fanya mazoezi sana sana ya miguu kimbia ,chuchumaa na kuinuka ,kula ndizi mbivu ,kula matikiti maji mwisho jiamini na hicho hicho utaweza mlizisha mwanamke kuliko kutaka mb kubwa
Back
Top Bottom