Recent content by Dank

  1. Dank

    JamiiForums Tanzania RASMI: PCB, PCM na CBG ndio pekee wanaopata kipaumbele cha mkopo

    Labda Sheria tu, kwa combination za arts ina priority, tofauti na hiyo cjaona kweli
  2. Dank

    JamiiForums Tanzania Fahamu jumla ya hifadhi (National Park ) zetu nchini

    Uzi mzuri sana, huwa nataman sana kujua mambo ya wanyama ila ndonto yangu ipo siku itatimia tu
  3. Dank

    JamiiForums Tanzania Sasa masomo ya sayansi lazima sekondari, utaratibu wa kuchagua masomo kidato cha tatu haupo tena

    Hivi kipaumbele cha TZ ktk hi awamu y tano ni kipi? Afya bado daw ni shida hospital in, Elimu walim, madawat, vyumb vy madaras, zana za kufundishia na kujifunzuia ni changamoto, maslahi ya walim duni, Tuongeze na mzg wa sayans wote.
  4. Dank

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aliwahi kudhaniwa ni usalama wa taifa

    Jaman, mtu akijua kitu ni vizur sana, Tuweke vyama pembeni ila tumpongeze tu, hii ni chachu kwa wanasheria wote TZ , ninafikiri Mawakili wa Jamuhur jana hawakulala, wanawazia kichwa hicho
  5. Dank

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mpya wilaya ya Moshi hajaripoti kwenye kituo cha kazi mpaka sasa

    Mi nipo tayari, hata akisema leo naripoti nitaapishwa kazini.
  6. Dank

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo

    Jaman, pressure zitawaua viongozi hawa
  7. Dank

    JamiiForums Tanzania Leo nimepiga mwanamke

    Mwanaume ni kichwa cha familia, kila tatizo linalotokea krk familia kuna namna fulan ambayo mme umelegea. Gari likipata ajari anaulizwa dreza sio kondact wala abiria, Kampuni yoyote ikipata loss, meneja anawajibishwa sio wafanyakazi. Vilevile nchi ikizubaa kimaendeleo Raisi analaumiwa. Wanaume...
  8. Dank

    JamiiForums Tanzania Leo nimepiga mwanamke

    Kwa ufupi, yapo matatiz meng san kwenye ndoa, na inahitaji mbinu nyingi sana za kuyatatua. Swali kw mtoa mada, 1. Kuja sa tano ndo muda wake wa kila siku? Kam sio kurakuwa na cheni ndefu ya matatizo yao.
  9. Dank

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wataalamu wa IT

    Nina flash ambayo nilikuwa natunza document zangu nyingi na za muhimu. Ilikuwa na audio chache. Siku moja nilikuwa naplya kwenye DVD ikastop ghafla nahisi ilipata virus. Nikiifungua kwenye computa haifunguki, hata nikiiflshi inagoma. Lakini kwenye hizo documement ndani ya flash baadhi zilikuwa...
  10. Dank

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

    Nami kweli nampongeza sana
  11. Dank

    JamiiForums Tanzania Nani anayezuia punguzo la bei ya saruji ya Dangote

    Hiyo VAT inaanza lini?
  12. Dank

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila CCM haiwezekani

    Ni mtazamo wako. Sio la kujadili sana hilo
  13. Dank

    JamiiForums Tanzania Kati ya ndoa na ujenzi nianze na kipi?

    Yapo mambo ya kuzingatia, angalia. Umri wako, unataka kujenga nyumba ya aina gani na garama za ni zipi. Je mpaka sasa umejipangaje?
  14. Dank

    JamiiForums Tanzania App ambayo inabadili mwandiko wa simu

    Tahadhari, kuiroot sim sio kazi rahisi ni kama kuifanyia oppresion sim. Ukikosea step 1 inazimika na haiwaki tena.
  15. Dank

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke akibeba mimba anadeka sana?

    Nimeipenda sana. Mimba kitu kingone.
Back
Top Bottom