Kwanini mwanamke akibeba mimba anadeka sana?

Kwanini mwanamke akibeba mimba anadeka sana?

Kipindi kizuri kumuonyesha mkeo kuwa unamjali

Usimtii katika kila jambo inakupasa uwe na misimamo kidogo ingawa ataona kama hapendwi tena kwa hali yake

Hayo machips kuku sijui makiti moto mpotezee vyema kuungana naye katika lishe yenye kujenga afya yake na afya ya mtoto wake
 
Ila mara nyingi ni kwa mitatu ya mwanzo

Mimi hapa nilitamani kumrudisha home kwa wazee mama akamind nimekomaa naye huu mwezi wa tano alhamdulyllah
 
Mimba za kwanza mwanaume utaona rangi zote. Uzoefu wangu mama akiwa mjamzito na ana watoto wengine hadeki, hana demands za ajabu ajabu. Anafanya majukumu yake kama kawaida labda aumwe.
 
Mimba za kwanza mwanaume utaona rangi zote. Uzoefu wangu mama akiwa mjamzito na ana watoto wengine hadeki, hana demands za ajabu ajabu. Anafanya majukumu yake kama kawaida labda aumwe.
Hapana ni kwa vile mwili unakuwa tayari ushazoea kutotoa
 
We Jamaa mbona unakimbia Bahati?

Yaani mtu anataka SEX kila siku halafu we unaenda Mkoani!

Mim nina jamaa yangu, Mkewe akiwa mjamzito tu, Mke hataki kumuona jamaa akiwa uchi. Basi hata kuoga jamaa akawa anaoga Gest iliyo mtaa wa pili kwa muda wa miezi 9.
 
Hapana ni kwa vile mwili unakuwa tayari ushazoea kutotoa

Hiyo shughuli haizoeleki ndugu, tena ya kwanza inaweza kuwa afadhali kuliko zinazofuta. Mfano mdogo, Mtoto analazwa hospital mama yake akiwa mjamzito mama hajiulizi mara mbili kama atalala chini au atasimama. Hakumbukikama hospital kuna harufu inayo mkera, kama atapata chakula anachopenda akiwa huko hospital.
Anajua akideka na kuwa legs lege inakula kwa Mtoto wake
 
kudeka sio wote!
mimi mdogo wangu mtoto wa mjomba anafanya kazi hatari.. mimba miezi8
lakini sisi wenye asili ya kuwa watoto wa mwisho katika familia tunadekaga sana..

kama mwanaume huna moyo utajuta
ni vitabia tu vya mtu ikiwemo mimi...
pia wakati mwingine mimba zinachosha sana maana ni mzigo ule na unaleta mabadiliko mengi mwilini ..
pia jinsi mtoto utakavyo mlea ndivyo atakavyokua..
inaonekana ulihitaji mtt sana ,sasa anadeka anaona kashatimiza agano lake...
ahaa baby wangu kwao mtoto wa mwisho so nisishangae akiwa anadekadeka nisikwazike au sio...?
 
inategemeana na ntu na ntu. mke wangu mimba miez 8 lakin kazini anakwenda kama kawa na gari anaendesha yeye mwenyewe. na kazi za nyumbani anafanya, japo kidogo namsaidia. she is strong sana, nampenda sana
 
Hata Mie nkipata wakunidekeza ntadeka kweli kweli..huwez kudeka kwa asiye respond
 
We Jamaa mbona unakimbia Bahati?

Yaani mtu anataka SEX kila siku halafu we unaenda Mkoani!

Mim nina jamaa yangu, Mkewe akiwa mjamzito tu, Mke hataki kumuona jamaa akiwa uchi. Basi hata kuoga jamaa akawa anaoga Gest iliyo mtaa wa pili kwa muda wa miezi 9.
Hii kali
 
Back
Top Bottom