Recent content by .Daniel.

  1. D

    Prof. Muhongo afanya Kikao na Viongozi jimboni kwake Musoma

    "My fellow Americans, ask not what your country can do for you, ask what you can do for your country." - John F. Kennedy
  2. D

    Je, ni kwanini katika dunia halisi 1 haigawanyiki kwa 3

    Jiulize kutokea kona hii, Je unaweza ukaunganisha vipande vitatu vya kamba vilivyo sawa ikawa kamba moja? kama jibu lako ni ndiyo,kwanini unauliza kuhusu kuigawanya? na kama jibu lako ni hapana, basi sababu yako ya kusema hapana inabeba jibu la swali lako la msingi.
  3. D

    Swali kuhusu Repackaging (kufungasha upya bidhaa iliyozalishwa na kufungashwa na mwingine)

    wakuu naomba kufahamishwa. je,ninaruhusiwa kuifungasha upya kwenye mifuko yenye nembo yangu bidhaa iliyotengenezwa na kufungashwa na mtu mwingine? mfano nanunua bidhaa iliyosindikwa na kuwa packed na kampuni fulani iliyothibitishwa ubora na shirika la viwango la kimataifa ISO, kisha mimi...
  4. D

    What they call it a constant is not constant!

    The speed of light in a vacuum(c) is not a constant. Is the particle of light,the photon do not have mass? where is the vacuum?
  5. D

    neno moja ndani ya katiba.Mh Zitto angeweka acauntability(uwajibikaji),wew e je?

    wakuu tukiwa tunaelekea kwenye katiba mpya napendekeza lifuatalo; tuweke maneno tunayoamini kuwa ni ya msingi kwenye katiba mpya kwa ajili ya tafakari zaidi bones are made before the flesh and the flesh before the skin. kwa kuwa JF have great thinkers nategemea bones are going to be...
  6. D

    What they call it a constant is not constant!

    ni kweli scientific assumptions zitaendelea kuwepo because kuna factors ambazo scientist can not control them.kuhusu kutembea juu ya maji,I guess you are talking the story of JESUS CHRIST,if my guess is correct sina tatizo na story yenyewe,ila napenda niboreshe lugha ili kuondoa missleading...
  7. D

    What they call it a constant is not constant!

    Tafakari the following nonsense with your mathematics teachers; 0!=1!,but 0 is not equal to 1.
  8. D

    What they call it a constant is not constant!

    hujanielewa kwa kuwa umeathirika na elimu ya kufikirika.kusema nR haiathiriwi kwa vyovyote na P,V or T ni kujidanganya sana,kama haviathiriani visingekuwa na uhusiano,nakushauri tafakari upya bila kufungwa na written documents za wanasayansi,read in details hizo factors sambamba na n,R.utauna...
  9. D

    What they call it a constant is not constant!

    mara nyingi kwenye kusoma kwangu sayansi nimekutana na maneno,'assume other terms are constant'. kuna wakati i also assumed so as to proceed with my calculations, "fake calculations". siku moja nilipokuwa kwenye lecture ya fluid mechanics, lecturer aliandika formula hii; PV=nRT kisha ikafuatiwa...
  10. D

    Spika kusema "hapa hakuna kupiga kura" ni kumuogopa rais?

    Jana katika kikao cha bunge cha jioni spika alisema,kwa uendeshaji bora wa bunge suala lililozua mjadala juu ya nani ashirikiane na kamati maalum ya kukusanya maoni juu ya katiba mpya katika ngazi ya wilaya analipeleka kwenye kamati ndogo ya sheria ya bunge na kwamba katika hilo hakuna kupiga...
  11. D

    Kumi wawa discontinue udom

    That's great! wanafunzi wa siku hizi wengi hawataki kusoma kwa bidii,kujifunza kwa kuzingatia kanuni za kujifunza ila wanataka vyeti tu.Take this;mwenye akili anajali kuongeza maarifa na siyo kutafuta vyeti.
  12. D

    kizazi cha nne lazima kife na katiba yake kwa Tz mpya!

    Historia na maandiko yanatuonesha kuwa; madhara ya kizazi cha kwanza yanagusa hadi kizazi cha nne! na vingine mbele endapo hakuta kuwa na mwanzo mpya. Tz sasa tupo kwenye kizazi cha nne, tusilalamike what we are facing now,system imeishakaba, nothing will change, inflation inatisha. Tuvumilie...
  13. D

    kizazi cha nne lazima kife na katiba yake kwa Tz mpya!

    Historia na maandiko yanatuonesha kuwa; madhara ya kizazi cha kwanza yanagusa hadi kizazi cha nne! na vingine mbele endapo hakuta kuwa na mwanzo mpya. Tz sasa tupo kwenye kizazi cha nne, tusilalamike what we are facing now,system imeishakaba, nothing will change, inflation inatisha. Tuvumilie...
  14. D

    Msemo wa Leo....

    Yesu kristo ni bwana
Back
Top Bottom