Recent content by daniel last lecester

  1. daniel last lecester

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Six flying dragon Hidden roots Jang yeong sil
  2. daniel last lecester

    Bongo fleva kitambo

    Muda umeenda Sana ukilinganisha na kule mziki Wa Bongo fleva ulipotoka nafikiri mziki umekua kiasi kuelekea kule lengo linapoitajika.. Kwa wewe Ni nyimbo gani unazikumbuka na haziwezi potea kichwani mwako unaweza uka share hapa hivo tukapata ladha za kitambo
  3. daniel last lecester

    Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

    Ngoja niendelee na quaresma Sent using Jamii Forums mobile app
  4. daniel last lecester

    Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

    Hlkuna kitu inatwa xiomi pocophone hapo China huyo iPhone atateseseka sana
  5. daniel last lecester

    Series (Special thread)

    Hii si walizima?
  6. daniel last lecester

    Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

    Baadhi ya wazee wa jaribio la mwisho wapo hai tatizo hawapo sawa kiakili nafikiri kuna jambo lilifanyika
  7. daniel last lecester

    Nimefall kwa mwanadada maarufu wa jf

    Nakucheki kwa mbali hivi nikikufikia karibu ntakwambia
  8. daniel last lecester

    Darasa anarudi tena kwa game?

    Site tunajua darasa alikaa kimya wakati bado soko LA mziki linamuhitaji.. Je mziki utamkubali kama alivyouacha?
  9. daniel last lecester

    Nyumba mbili za Lugumi zauzwa kwa Dr. Shika kwa Tsh. 2 bilioni. Mnunuzi abainika kuwa ni tapeli, mnada kurudiwa

    usimwangalie kwa sura kwa nchi zetu hizi hawa ma dokta wana soko kubwa sana kuliko wachungaji sina shaka na pesa
  10. daniel last lecester

    Hivi wapinzani wa nchi hii wanasimamia nini au mlengo gani?

    unawezaje mpa mtu ridhaa pasipo kujua mbinu na mikakati yake?
  11. daniel last lecester

    Hivi wapinzani wa nchi hii wanasimamia nini au mlengo gani?

    kuna umuhimu wa kuufunga huu mjadala wa vyeti nakujaribu kuangalia vipaombele vyetu ni vipi ..upinzani unaitaji kuwa na sera mama ...kuliko kujikita kwenye hizi games mwishowe tutaendelea kuwa katika mifumo wanayoitengeneza . #JuaUnachotaka
  12. daniel last lecester

    Tajirika na Kilimo cha Nyoka: Tuwapende na kuwatumia Nyoka badala ya kuwaua

    mkuu nimekua nikipata mafunzo mbali mbali juu yA hii mifugo at the end of this year nitakua mekamilisha taratibu zote na mifugo itakua mabandani
  13. daniel last lecester

    Moyo kwenda mbio na kuuma ubavu wa kushoto

    nilikua na tatizo kama lako miaka 5 nyuma..nilitumia tangawizi na kitunguu swaum nika mix na asali nikawa natumia vijiko viwili mara 2 kwa siku. kwa mwezi mmoja likapotea kabisa
  14. daniel last lecester

    Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

    nadhani bado hamna njia nzuri ya kupambana na madawa
Back
Top Bottom