Kama unapenda kusoma vitabu,kitafute hiki kinaitwa "confessions of an economic hitman"kimeandikwa na john perkins.kimeelezea vizuri sana sababu ya nchi zetu masikini kukopeshwa ovyo na kua na deni kubwa kuzidi uwezo wao wa kulipa
Tuwe wakweli usumbufu bandari yetu ni mkubwa urasimu,rushwa na uzembe sio kwa wageni tu hata sie watanzania unatutesa tukubali ufanisi wetu uko chini tuimarishe huduma zetu kuanzia bandari zenyewe mpaka reli waganda na wanyarwanda wenyewe wataona hasara kutumia mombasa tuache kulialia tuchape...
Hata kusini kuna wanyasa kutoka malawi,wamakonde kutoka msumbiji sema wao hawana tabu wanyasa wamekubali kua walinzi maisha yanaenda wako hapa kwa amani na adabu tatizo la wahamiaji wa rwanda wana tabia za ajbu mara ujambazi mara rais wao atutishie basi mnageuka kero na threat hakatazwi mgeni...
Unganisha dots kati ya vatican na mafia na taliban na wazalishaji wa hizo dawa.tatizo letu hizi dini mbili zimetublind kabisaa hatutak kuona wala kusikia ila ukweli kulikoshamiri ukatoliki na uislam wenye msimamo mkali ndio haswa sehemu kuu za uzalishaji na usafirishwaji.unadhan taliban wanapata...
Aina hiyo ya ndege zinatengenezwa brazil iweje ikanunuliwe morocco!! Hapa kunanunuliwa mtumba na ni kinyume na sheria ya manunuzi ya umma kumbukeni sababu ya kugomewa kununuliwa mitambo ya dowans.hii ni rushwa tu naomba wakiinunua ianguke iwaue!
Sio tu mkoani hata hapa dar kuna maeneo hakuna ushindani wala inspiration,mie naishi uswahilin nina miaka 24 tu nina gari na vipesa flani basi naonekana matawi mtaani balaa naheshimika yote hii ni kwasababu nimezungukwa na maskini na wenye elimu duni kama na mie ningekua mtu wa kuridhika ahh...
Tusiishie kusema TRA wapo BOT wapo jeshini wapo sijui na wapi wapo.kama tunawajua tuwataje majina yao hapa hapa hatutumii majina halisi acha uoga taja tu majina najua wanausalama wanafuatilia mitandao ya jamii na thread kama hii lazima waiperuzi mtaje jina na eneo lake la kazi achunguzwe kama ni...
Hi operation isishie kagera tu iende nchi nzima kule arusha wasomali na dar mitaa ya kwa mtongani wamejaa sana,pia wahindi nao hawana vibali ndugu zao wamewajaza maghorofani upanga huko wanafanyiwa mipango ya kupata passport zetu.sipingi wageni kuishi hapa ila wafuate taratibu pia wawe raia wema...
Napenda sana hizi mutual funds but lazima nikiri naziogopa nikichek ya nicol hata yaliyotokea kwenye financial crisis huko USA jinsi hao managers walivyocheza na investments za watu bei za hisa zikaporomoka watu wakala hasara while wao managers wakijilipa bonus na kusepa nakiri napata uoga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.