Recent content by Danah

  1. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada watanzania wenzangu

    Habari zenu jamani. Mimi ni mtanzania nilieamua kuja kufanya kazi huku Oman kutokana na ugumu wa maisha. Ila sasa nimeamua nirudi nyumbani kutokana na maumivu makali ya mgongo yatokanayo na kazi nyingi nifanyazo. Hivyo nikaomba kurudi nyumbani Tanzania, wamenikubalia lakini wanataka nilipe...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Je!kuwa na kilo nyingi ni afya??

    Habari waungwana.....ni hivi nina mtoto wa dada yangu ama umri wa mwaka na nusu,lkn ana uzito wa kilo kumi na nusu.Leo nimpeleka kliniki wanasema aongezewe lishe.lakini mtoto anakula vizuri,kachangamka pia hasumbuliwi na magonjwa yoyote.Je tatizo linaweza kuwa nn??natanguliza shukran!
  3. D

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Wanaume wenye kushinda sana kwenye "Social Networks" hufanya sana punyeto

    Kuna ukweli ndani yake!wengi wao ndo kazi yao hiyo!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Soma hapa inaweza kukusaidia kuondoka na kitu kichwani mwako

    Ameen!Pole Mtoto.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Uvivu wa Mtanzania

    Noma Kweli
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ebanaeee hii sasa "Hatrari"

    Hii Kweli Hatari,padri Kaona Asali Kabsa Kabla Hayajamfika Na Yy
  7. D

    JamiiForums Tanzania Umechelewa kuleta posa

    Pole Sana,haikua Rizk Yako.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mimi naamini wengi humu JF hawatizamiki mara mbili

    Aisee...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Diamond achaguliwa kuwania tuzo za BET

    Hongera Zake!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Haaaaaa haaaaaaaa haaaaaaaaaaa!!!

    Tutagawana Kwa Kweli!Hawezi Ondoka Hvi Hvi,lazma Kieleweke.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Na Bado

    Hii Kali!Mweh!
  12. D

    JamiiForums Tanzania mazoea yana taabu!

    Kuumbeeeh!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye mtoto!

    Fuata Moyo Wako Mkuu!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday gorgeousmimi

    Heri Ya Siku Ya Kuzaliwa.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

    Wa Kiranga Haliliwi....
Back
Top Bottom