Me370
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 985
- 293
Achana nao PIli hawa huwa wagumu ile mbaya kushika Mimba. Wengi baada ya kuzaa huwa wanaingia kwenye uzazi wa mpango au kutoa mimba itakayofuata ili kosa alilofanya lisijirudie na hii huwa inawaathiri. Alafu mkikawia kupata mtoto pressure itakuwa kwako mwanaume maana yeye atadai hana tatizo ana mtoto. Usioe Kaka fuata ushauri wangu piga chini fasta.