Happy Birthday gorgeousmimi

Happy Birthday gorgeousmimi

Tunajulia fb. Ngoja ntakuanzishia uzi manake we ar friends kule

Duh!

Kumbe huko fesbuk tupo marafiki?

Nilikuwa hata sijui!!!!

Kwa hiyo huwa unanichora tu huko? Lakini hata hivyo nipo huko kijina tu maana huwa inapita hata miezi sijakanyaga.
 
Happy birthday shosti wangu kipenzi...

Mola akujaalie baraka tele katika maisha yako....shari zote zikuepuke biidhnillah en shaAllah.....
 

Attachments

  • 1400239530584.jpg
    1400239530584.jpg
    8.2 KB · Views: 94
Shurkan Mkoroshokigoli kwa kuchukua fursa na wakati wako kuniazishia uzi huu,much appreciated 🙂i have to admit JF have gave me true friends who have a huge impact on my life,who are always there to support me wherever i am even though i am far from them!Two words of wisdom advice can make a change on someones life!Thnx for all members of JF who are here on this thread to celebrate this special day with me,ahsanteni kwa dua zenu na birthday wishes mlizonitakia! Long live Jamiiforums!nitakuwa si mwema wa fadhila kutokumshuru mungu kwa kunipa uhai,uzima,afya njema na kila neema kwenye maisha yangu,bila kumsahau mama gorgeousmimi kwa uchungu aloupata siku hii ya leo!Ahsante wapendwa wote
Vaislay tinna cute Eli79 miss neddy The Boss Himidini Ablessed BAK Kim nana Fixed Point Kennedy utafiti mwekundu KhantweEvelyn Salt Sandeni sungura1980 watu8 ICHANA Rogie Nokia83 Mtoto halali na hela figganigga!
Pamoja sana mkuu. mia
 
Wana MMU habari,

Leo mwana MMU mwenzetu gorgeousmimi anasheherekea siku yake ya kuzaliwa ningependa kutumia jukwaa hili kumtakia kila la kheri katika siku yake hii ambapo amesogeza umri wake.

Mwenyezi mungu amjaalie kwa kila jema, ampe afya njema.

Happy Birthday gorgeousmimi
Allah akupe baraka
Na afya iso mashaka
kwa neema na fanaka
Uzidi kuwakawaka

Akupe yalo ya kheri
Yakuepuke ya shari
Tuwe nawe kwa dahari
JF ng'aring'ari


Heri ya siku ya kuzaliwa #gorgeousmimi .

#farkhina , #mzizimkavu kule jikoni kwetu mmeandaa chochote kwa mtoto aliezaliwa leo?
 
Hilo naalifahamu. Lakini hizi wishes zmimezidi kuwa nyingi. Hivyo, ina maana watu nje ya hapa JF wana mahusiano ya dhati?

Wapo mkuu ila binafsi naona kuwa si jambo jema mambo yatokeayo nje ya JF kuyahusisha huku JF...

Mathalani kama unatambua leo ni siku ya kuadhimisha kuzaliwa kwa rafiki yako ni bora pongezi uzimalizie huko huko kuliko kuanzisha uzi huku...

Kama kila mtu akianzishiwa uzi wa wishes za besidei si ajabu kwa siku kukawa na nyuzi nyingi tu hapa ndani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom