Haaaaaa haaaaaaaa haaaaaaaaaaa!!!

Haaaaaa haaaaaaaa haaaaaaaaaaa!!!

Ntampiga na chupa ili azimie nchukue kisodaa loo akija amka network zmekata
 
Ninaumwa sana, ila baada ya kusoma hapa nimecheka mpaka wanaoniuguza wanashangaa.
 
Imetokea umepata mgeni nyumbani kwako. Kama kawaida ya ukarimu kwa wageni, ukampatia Soda, Mgeni alipofungua soda, akaona ameshinda Tsh.1000,000/=. Halafu akakuonesha kwamba ameshinda, Then anaaga aondoke... Utamfanyaje?

kwanini anioneshe?ila ntampa asepe
 
Imetokea umepata mgeni nyumbani kwako. Kama kawaida ya ukarimu kwa wageni, ukampatia Soda, Mgeni alipofungua soda, akaona ameshinda Tsh.1000,000/=. Halafu akakuonesha kwamba ameshinda, Then anaaga aondoke... Utamfanyaje?

Namwitia mwizi..😈😈
 
Back
Top Bottom