Recent content by Dan Densley

  1. Dan Densley

    JamiiForums Tanzania Never date a guy with Six Packs

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14]
  2. Dan Densley

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa, tuambiwe ubora wa Makaa ya Mawe na Chuma cha Liganga. Kwanini wawekezaji wanayakataa?

    Pumbaziiii, Dangote anazinguaaaa, asepeee tu.
  3. Dan Densley

    JamiiForums Tanzania Imenishangaza hii ya screen T-shirt printing

    Natanguliza Salamu Kwenu Wadau, Napenda kuuliza juu ya hii ya kuprint Tshirt kwa kutumia SCREEN, hua naona Nikienda kuprint kazi zangu. wanavoandaa ile screen ni kama wanapaka vitu vya BLUE kama rangi alafu baadae KARATASI yenye LOGO inabandikwa juu ya SCREEN alafu (CHAKUSHANGAZA) baadae ile...
  4. Dan Densley

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na Performance Management Tools ambazo ni common kwa Makampuni ya Tanzania

    Kwa sasa nafahamu OPRAS ndio inayotumika sana hususani upande wa serikalini yan MDA's na LGA's, Je kuna zipi nyingine ambazo zinatumiwa na makampuni ama taasisi nyingi kwa Tanzania mwenye uelewa wa hii kitu karibu, mchngo wako muhimu sana.
  5. Dan Densley

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    habari wadau, nina laki tano naweza kufanya biashara gani inayolipa kwa mtaji huo hapa mjini, (dar es salaam).
  6. Dan Densley

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa na taasisi ya Zanzibar Election Observer and Support project

    Mkuu Hata mimi wamenitumia hiyo email..km kuna jipya tufahamishane.
Back
Top Bottom