Dan Densley
Member
- Jan 14, 2014
- 6
- 4
Kwa sasa nafahamu OPRAS ndio inayotumika sana hususani upande wa serikalini yan MDA's na LGA's, Je kuna zipi nyingine ambazo zinatumiwa na makampuni ama taasisi nyingi kwa Tanzania mwenye uelewa wa hii kitu karibu, mchngo wako muhimu sana.