Mwenye taarifa na taasisi ya Zanzibar Election Observer and Support project

Mwenye taarifa na taasisi ya Zanzibar Election Observer and Support project

Wakuu habari,

Wakuu samahani kuna mwenye taarifa na hii taasisi jamani?

Zanzibar Election Observation and Support Project (ZEODS-Project)
Email: electionobserverjobs@gmail.com
|infor@representative.com|ZEODS-Project@europe.com | ZanzibarElection@representative.com | inquiry@representative.com
www.representative.com www.europe.com
Mkuuu hii taasisi mm siielewi ila wamenitumia email wanataka nimlipe kagenz ili niwe msimamizi wa uchaguz Zanzibar mwanzo walijiita European elections observer
 
Mkuuu hii taasisi mm siielewi ila wamenitumia email wanataka nimlipe kagenz ili niwe msimamizi wa uchaguz Zanzibar mwanzo walijiita European elections observer
Mkuu Hata mimi wamenitumia hiyo email..km kuna jipya tufahamishane.
 
Back
Top Bottom