Miaka 25,
Binti wa kiislam
Maji ya kunde
Urefu 5.5
Elimu -digrii
Mjasiriamal
Baada ya kupitia nilitopitia katika mahusiano sasa nahitaji nusra kutoka kwa kijana wa kiislam anaeijua dini,
Umri wake uwe kuanzia miaka 29-35,
Awe na shughuli maalumu.
Sifa za kutafuta mchumba bora kwa imani ya...
Hata mimi ningekunyima! Mtu akimaliza usahili anatoka nje, sasa yeye aache kuwahi ratiba zake akusubir wewe? Kwanza uaminifu hakuna siku izi ungetoroka nayo
Mmmmh! Sisi ndo tutamsaidiaje au yeye ndo aseme anataka msaada gani?
Pesa?
Tumbembelezee aajiriwe bila rushwa?
Tuite takukuru akamatwe uyo alomuomba laki mbili?
Tukatoe taarifa uongozi wa tanesco/wizara ya nishat?
Tumtafutie ajira sehem nyinngine?
Ama nini sasa anataka
Sina uhakika kwa hili kwa sabbabu kuna wanaume hawapendi kabsa wanawakr wanaovaa nguo za kuonyesha miili yao na wanatupenda sana sisi wavaa stara ka tupo oman
Polenii mlotapeliwa pesa zenu, ila siku nyingine muwe makini na mkiambiwa ni hatar chunguzeni kwa umakini. Na wale mlioshawishiwa na masupastaa kamma JOYCE KIRIA kawadaini sasa......teh teh
Asanteni sana kwa wote mliochangia kunipa mawazo, ntachanganua lipi linifaalo kati ya haya na mengine niliyoyapata kwa watu wangu wa karibu na kuyafanyia kazi.
Shukran sana
Asante dr kwa ushaur ntaufanyia kazi. Ni kweli wasichana wengi wanapenda hao waty weupe, ila uyo kaka mzazi wake mmoja ni mwafrica na yy anamuonekano wa kiafrika tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.