Huyo Dada Nampa pole, hakujua kua c kila mwanaume anafaa kuwa mme.. Wengine magume dume. Huyo Dada ni mjenz mwema, angekua nyang'au angetoa mimba na kuendelea na mambo yake. Ila kwakua analenga kujenga Familia Ana hofu ya MUNGU ndo maana hakutoa mimba. Ila mti alioutumainia sasa.. Duhhhhhhhhhhh...
We akili yako ni nyehu.. Huyo mwanamke Ana Nia ya kujenga Familia ndo maana Hana mpango wa kutoa mimba.. Ila we ndo wenge..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaetafta mme.. Kwa dhati na ukweli wa moyo wako, nitaft kwa no.. 0789211111 mimi ni kijana mwenye miaka34.. Nafanya biashara na naishi mwanza. Ni mkristo.. Karibu tutafte maisha.. Kama kweli una nia hiyo toka moyoni.
Hakuna cha ubkra haopo ni utapeli tu.. Nimetumiwa sms na mtu anahoji eti wewe unatafta mchumba? Nilipojibu ndio akasema sawa, najaribu kutuma mpesa linakuja jina la kharid mganga.. Naangalia wasap profile ni picha ya mwanamme.. Huyu jamaa atakuwa ni chasies no shoga.
Watu wanavushwa kwenye pantoni toka juzi, kutoka morogoro, bagamoyo, tg, pwani yote na mkuranga. Unasema eti watu wamelala.. Wakati hao waliotoka nje ya dara hawana pa kulala.. Na kula
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.