Natafuta mume anayetaka mwanamke bikira

Natafuta mume anayetaka mwanamke bikira

Je tutaweza kutesti kwanza ili kujiridhisha? Maana siku hizi zipo za kichina.
 
Hivi kuna mtu keshawahi kufanikiwa kupata mke/mume humu?
 
ZA JIONI WADAU.
NAJUA KUA WANAUME WENGI SIKU IZI HAWATAKI WANAWAKE BIKIRA, KWAIYO HII NI KWA WALE TU WANAOHITAJI MKE BIKIRA. Sifa zangu, miaka 27, nina kazi inayoniingizia kipato, mkristo.
Sifa za mume ninayemtaka miaka kuanzia 29 mpaka 34, mkristo, awe na kazi au shughuli inayomwingizia kipato. KASHFA NA KEJELI NAOMBA ZISIWEPO, HII NI KWA AJILI YA WALE WENYE MALENGO NA UHITAJI WA MTU KAMA MIMI, NJOO PM ILI TUWEZE KUFAHAMIANA VIZURI.
GOD BE WITH YOU ALL!

Sorry, hiyo bikra ni primary or secondary virginity?
 
I'm sorry, ila hii tone ipo kiume balaa. Wapo wanamama walio hivyo tho.
 
ZA JIONI WADAU.
NAJUA KUA WANAUME WENGI SIKU IZI HAWATAKI WANAWAKE BIKIRA, KWAIYO HII NI KWA WALE TU WANAOHITAJI MKE BIKIRA. Sifa zangu, miaka 27, nina kazi inayoniingizia kipato, mkristo.
Sifa za mume ninayemtaka miaka kuanzia 29 mpaka 34, mkristo, awe na kazi au shughuli inayomwingizia kipato. KASHFA NA KEJELI NAOMBA ZISIWEPO, HII NI KWA AJILI YA WALE WENYE MALENGO NA UHITAJI WA MTU KAMA MIMI, NJOO PM ILI TUWEZE KUFAHAMIANA VIZURI.
GOD BE WITH YOU ALL!

You meet my desire...thanks Jesus....call me here now...0762991229
 
Wanaume kazi kwenu jamani,msipoteze hyo bahati mkajilie vitu vipyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,lkn isiwe ya bandia tu maana cku hzi zinatengenezwa hadi na limao:fear:
 
Hatari sana kuwa na bikra kwenye umri huo.....labda ya kutengeneza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom