Natafuta mume anayetaka mwanamke bikira

Natafuta mume anayetaka mwanamke bikira

Count me out!
Mie nataka experienced player!
Sio nikifunga magoli analalamika na kubana!
 
Ukaguzi wa hiyo bikra utafanyika kabla ya ndoa au baada ya ndoa?
 
Mh kwa umri huo we utakua ni sister wa mle makanisani na sister hua haolewi acha tamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom