Recent content by DAMARY DINOCHRIC

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna makabila yasiyotakiwa kutoa rais wa nchi?

    KILA MTU NA KILA kabila lina uwezo wa kuiongoza nchi ili mradi tuuuuu achaguliwe mtu mwenye uwezo huo tu wakuongoza ukabila sio issue
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wife kaniroga naogopa kumwambia.

    na wewe kwa nini unataka kutoka nje ya ndoa basi mkeo aligundua toka awali kuwa wewe utatoka ndio mana akakufanyia hvyo lakin usije ukamdhuru mkeoooo
  3. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kupangua Baraza la Mawaziri

    kweli kazi ipoooo
  4. D

    JamiiForums Tanzania Simuelewi kipenz changu

    muache akijisikia mwenyewe atataka kuongea na wewe
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA uwanja wa Mbungani Mwanza - Wenje na Mawazo wanguruma

    hongera kwa kazi nzuri
  6. D

    JamiiForums Tanzania TANESCO Yaomba kuongeza tena bei ya Umeme kwa 68%

    hizo kauli sio nzuri kabisa tunaenda wapi Tanzania yetu jamaniiii?
  7. D

    JamiiForums Tanzania dada mwenye nyumba anataka na weza kuendelea

    yakupasa uwe na msimamo usije ukamuudhi mchumba wako na kumletea magonjwa kama unavyojua cku hz magonjwa mengi tuliza ubongo wakoooo:A S-confused1:
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mtanzania auawa Kenya kwa kunyongwa!

    R.I.P jaman lakini ni nini chanzo?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mtanzania auawa Kenya kwa kunyongwa!

    R.I.P jaman lakini nini chanzo?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ajiuzulu rasmi!

    kama ameamua mwenyewe kujiuzulu muache ajiuzulu na ndio mana kuna freedom of expression katika katiba yetu!!!!!!!!
Back
Top Bottom